Dar tupake rangi na tupambe daladala zetu

Dar tupake rangi na tupambe daladala zetu

Hivi kwa hali ya usafiri ya dar kuna haja ya kupamba gar kuvutia abiria? Yan ushachelewa unakoenda, folen kibao then usubir gar lililopambwa? Wakat hayo mnayoyaona mabaya watu wanapitia dirishan, unadhan tajir ataona umuhmu wa kupamba gar? coz haitamuongezea faida yoyote coz soko ni la uhakika, abiria wengi magar machache so upambe usipambe watu watapanda tu.

Wakat wewe unawaza kupamba gari, wenzio tunagombea kuingia kwenye kirikuu au toyo kwakua daladala hakuna, sometimes tunapanda roli za michanga kama hali ni mbaya zaid.

Nadhani sifanyike kwanza jitihada nyingine za kuboresha hali ya usafiri na kupunguza folen kabla ya kuyapamba hayo madaladala.

NB. Itapofika mwaka wa kupamba daladala zetu naomba wasiyafanye ka hayo ya Kenya coz mengine had yanatisha, wameyasiriba mno, wayapambe simple tu bt iwe sure. Mtazamo tu.......
Yale mapambo yanaitwa grafti hata majuu hayo mambo yapo...maisha yale Kenya yapo miaka na miaka ndio maisha yao kwenye daladala na ni gharama ajabu mpaka unajiuliza hizi ela za kulipia wanazipata kihalali au???..kipindi waziri Michuki aliawabana na kuleta oda kwenye industry...sasa hayupo tena wanajiachia tu...daladala kuipamba vile lazima uwe na uhakika pesa kurudi na kule Sumatra yao haipangi nauli elekezi kama hapa...kila driva na koda wake wanajipangia nauli kulingana na muda(asubuhi,mchna n.k) ndio maana hapa Dar na kwingeniko kuyapamba vile ni hasara, hapa abiria hawachagui kama kenya cha msingi aida DCm na kadhalika likufikishe unakokwenda
 
It's not about graffiti or the colored exteriors only, it's also about comfort and reliability. They are fitted with TV screens which you can enjoy watching movies or at times watch music videos. Most have wifi connectivity and some even have tablets. It's a culture that has created thousands of jobs to so many people both directly and indirectly.
dust 1.jpg
BOND.jpg
mixtape.jpg
mackbully.jpg
PHANS.jpg
 
It's not about graffiti or the colored exteriors only, it's also about comfort and reliability. They are fitted with TV screens which you can enjoy watching movies or at times watch music videos. Most have wifi connectivity and some even have tablets. It's a culture that has created thousands of jobs to so many people both directly and indirectly.
View attachment 504347 View attachment 504348 View attachment 504350 View attachment 504351 View attachment 504352

Beautiful.
 
Back
Top Bottom