Hivi kwa hali ya usafiri ya dar kuna haja ya kupamba gar kuvutia abiria? Yan ushachelewa unakoenda, folen kibao then usubir gar lililopambwa? Wakat hayo mnayoyaona mabaya watu wanapitia dirishan, unadhan tajir ataona umuhmu wa kupamba gar? coz haitamuongezea faida yoyote coz soko ni la uhakika, abiria wengi magar machache so upambe usipambe watu watapanda tu.
Wakat wewe unawaza kupamba gari, wenzio tunagombea kuingia kwenye kirikuu au toyo kwakua daladala hakuna, sometimes tunapanda roli za michanga kama hali ni mbaya zaid.
Nadhani sifanyike kwanza jitihada nyingine za kuboresha hali ya usafiri na kupunguza folen kabla ya kuyapamba hayo madaladala.
NB. Itapofika mwaka wa kupamba daladala zetu naomba wasiyafanye ka hayo ya Kenya coz mengine had yanatisha, wameyasiriba mno, wayapambe simple tu bt iwe sure. Mtazamo tu.......