Dar tupake rangi na tupambe daladala zetu

Nairobi's matatus are unique...one of a kind in the world...besides who said BRT cannot exist tgether with other means of transport...si nyinyi mna BRt na bado mna dala dala
At the moment dala dala are been phased put, they're not allowed to ender city centre.

We have taken a different approach when it comes to running city buses, we've taken a little bit similar London buses model, were a Private sector bids to run a particular route but the regulatory authority maintain the power of what type of buses will be allowed to run and what standard they should have. Ukiwa London unaona red buses and they all look the same, fair is the same, everything else is the same, but they are all run by private companies but you as the customer you won't be able to tell the difference.

Kenya matatu works for Kenyan market, it's there own way of adding the value to travellers but sio kwamba it will work else where. Similar to Manila na Karachi they used to decorate there city commuter buses but now they're all trying to go green with new type of low emotion buses.
 
Hivi kwa hali ya usafiri ya dar kuna haja ya kupamba gar kuvutia abiria? Yan ushachelewa unakoenda, folen kibao then usubir gar lililopambwa? Wakat hayo mnayoyaona mabaya watu wanapitia dirishan, unadhan tajir ataona umuhmu wa kupamba gar? coz haitamuongezea faida yoyote coz soko ni la uhakika, abiria wengi magar machache so upambe usipambe watu watapanda tu.

Wakat wewe unawaza kupamba gari, wenzio tunagombea kuingia kwenye kirikuu au toyo kwakua daladala hakuna, sometimes tunapanda roli za michanga kama hali ni mbaya zaid.

Nadhani sifanyike kwanza jitihada nyingine za kuboresha hali ya usafiri na kupunguza folen kabla ya kuyapamba hayo madaladala.

NB. Itapofika mwaka wa kupamba daladala zetu naomba wasiyafanye ka hayo ya Kenya coz mengine had yanatisha, wameyasiriba mno, wayapambe simple tu bt iwe sure. Mtazamo tu.......
 
Huo uchafu wa kupaka mirangi na michoro ni huko Nairobi. Dar hautakiwi, ni mwendo wa standard za kidunia ya leo (BRT) na dala dala zenye standard. Hizo chai maharage zimeshapitwa na wakati na haturudi nyuma.
 
zavutia sana nazipenda...ila pakeni daladala rangi kidogo...mwache hizi basi zibaki zilivyo..

Kuna utofauti mkuu wa daladala zetu na huko kwenu wanakopanga mstari, hizi za kawaida ukiondoa za BRT, wewe mwananchi ndo unapambana kuligomania na hawana haja ya kukuvutia maana utalipanda tu bila kukulazimisha na kukuvutia
 
Haya ya BRT yamewekewa matangazo, but just simple ones in a very good way..
Mfano, hizi hapa zimewekwa NMB advt
 
Huu sio upambaji...It is just a manic work

Madaladala ya Tanzania hunikumbusha mbali sana, yaani maisha tuliyokua tunaishi tukiwa kwenye low class huko ambapo mpo leo hii.
 
Madaladala ya Tanzania hunikumbusha mbali sana, yaani maisha tuliyokua tunaishi tukiwa kwenye low class huko ambapo mpo leo hii.
Yaani hizo matatu zenu zenye kunguni,zilizotengenezwa na mafundi bati na kupakwa mirangi kibao unafananisha na daladala iliyotengenezwa Japan au zile Bus za BRT



 
Yaani hizo matatu zenu zenye kunguni,zilizotengenezwa na mafundi bati na kupakwa mirangi kibao unafananisha na daladala iliyotengenezwa Japan au zile Bus za BRT

View attachment 504151

View attachment 504152

BRT ile moja ambayo huwa mnakunia na kokojoa humo na kudunga duga wamama mkichafua nguo zao wakati wanakwenda kuuza samaki Kivukoni....
Yaani nye ni wale wale tu hamna jipya...hehehe
 
BRT ile moja ambayo huwa mnakunia na kokojoa humo na kudunga duga wamama mkichafua nguo zao wakati wanakwenda kuuza samaki Kivukoni....
Yaani nye ni wale wale tu hamna jipya...hehehe
Acha ushamba hakuna vyoo mule kwenye mabasi ya BRT
 
BRT ile moja ambayo huwa mnakunia na kokojoa humo na kudunga duga wamama mkichafua nguo zao wakati wanakwenda kuuza samaki Kivukoni....
Yaani nye ni wale wale tu hamna jipya...hehehe

Wewe jipe moyo tu na ujinga wako. Awamu ya pili ya BRT itaanza wakati wowote kuanzia sasa na awamu ya tatu itaanza Desemba mwaka huu.
 
Hahahaha........Pakeni Hata Mavi Gari zenu Kwani Lazima Tuwe Unique Kama Nyinyi Wakenya Bhana Mpo very Stupid Yani Nipande Gari Kisa Rangi Ni Utoto Na my Young Boy Afanye Nini Basi Ni Bibi zenu wale muwe Mnawapaka Rangi kwa Makalio Wavutie"
 
Naona uchafu tu haya magari ya abiria Nairobi. Wekeni mwendokasi kama dar
 
Kudos... Kama wewe ni mtz jua wewe ndio WA kwanza nimekubaliana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…