Sio hivyo tu uiwa na kagari pia yaani unaamkiwa bila sababu..Unakuta mkubwa anamuamkia mdogo kisa muonekano hasa hao mabinti wa siku hizi sijui wanakula nini unakuta kazaliwa 2000 ila umbo kama mbuyu kajenga hadi kibanda
Kwa wanaume ukiwa dar unatakiwa uwe na sura soft kama ya haszu la si hivyo utaogelea shikamoo za watu wa miaka 70 hukoo.
wazee wa morogoro sijui wapoje wakinikuta sehemu yangu ya kutolea huduma wananisalimia kwa heshima na magoti juu,,kiukweli wananiudhi ila sina namna sijui shida ni huu urefu maana mwili ninao wa kawaida kabisaMjini kwa sasa salamu inapimwa kwa body size na urefu.
Pamoja na hayo yote 90% ya watz wote ni wafupi kutokana na partly lishe mbovu.Vibinti vya 2000s vinashindia chips, vinafutuka mno.
Kuna watu huwa mna zali la kuonekana kama viongozi tangu kuzaliwa kwenu, huenda ukawa miongoni mwa hili kundi 😊.wazee wa morogoro sijui wapoje wakinikuta sehemu yangu ya kutolea huduma wananisalimia kwa heshima na magoti juu,,kiukweli wananiudhi ila sina namna sijui shida ni huu urefu maana mwili ninao wa kawaida kabisa
hata hakuna mbinu yoyote mda mwingine mpka wamama ni wananiongelesha kwa adabu alf mi najiskia vibaya, kuna mmoja hata nishaacha kumsalimia shikamooKuna watu huwa mna zali la kuonekana kama viongozi tangu kuzaliwa kwenu, huenda ukawa miongoni mwa hili kundi 😊.
Au ni mbinu tu wanatumia ili huduma wanayotaka waipate mapema.