Amani congo
Senior Member
- Jun 20, 2025
- 144
- 312
Ndo maana watu wanapishana kila week saloon kufanya scrub
Shkamoo☺
Shikamoo pesa...Shkamoo☺
Mkuu jaribu kuwaambie wasifanye hivyowazee wa morogoro sijui wapoje wakinikuta sehemu yangu ya kutolea huduma wananisalimia kwa heshima na magoti juu,,kiukweli wananiudhi ila sina namna sijui shida ni huu urefu maana mwili ninao wa kawaida kabisa
Mkuu ufupi ni aina ya mbegu na siyo lishe, ndiyo maana kwenye familia mtakuta mmezaliwa watoto 7 utakuta watoto watatu wamefata urefu wa Mama yao na wengine wakafata ufupi wa Baba yao na unene wakafata kwa Mama yao.Pamoja na hayo yote 90% ya watz wote ni wafupi kutokana na partly lishe mbovu.
Mkuu hata ukinenepa tu na ukiwa una vaa kiutu uzima la utapewa shika moo, Sisi Watanzania kijana wakioa tu anadili mfumo wa Mavazi na kujiweka kiutu mzima, Watanzania hatuna Machaguo ya uvaaji wa nguo wa kudumu, Wazungu wenzetu utakuta Mama na Baba wana vaa aina za mavazi waliyokua wana vaa tokea wapo Vijana ndiyo Maana Nguo anazo vaa Mzee wa miaka 60 hizo hizo wana vaa vijana.Dar ukishakua na uwezo wa kubadilisha mboga tu,salamu utasalimiwa mpaka na vizee...
Kuna siku nilikua ndani ya daladala nimekaa kwenye siti kufika kituo cha dalala akapanda Mama wa makamo akaja kukaa siti moja mimi akanisalimia Habari Yako Baba nikamjibu salama, nikajiuluza nina ubaba gani na mimi nina mwili mwembamba kama wa Jaji Warioba na Watoto wa 2006 wananiita Kaka, nikajua huyu anataka nijiongeze niombe namba. Wanawake wengi wa Dar hawana mahusiano ya kujenga familia wengi wao wanakua michepuko kwenye ndoa za watu. Mwanamke akiishi kama mchepuko kwa miaka mingi kuna kipindi atataka kupata Mwanaume wake wa kujenga pamoja familia, kuishi miaka mingi mwenyewe kunawakati kunachosha tena umri ukiwa umeenda au undelete jioni.Mabibi wanaongoza kwa kuamkia "Shikamoo kaka...", nadhani ili umuone bado binti uombe mechi
Ukiniambikia nakujibu shika mwenyewe!Shikamoo pesa...