Tuna majambazi in uniforms!!,shoot to kill inafanyika tu,maisha ya raia au police yanapokua hatarini sio zaidi ya hapo, suspect kama anakimbia KUTOKA kwenye crime scene, police HAWARUHUSIWI kumpiga risasi, ni lazima watumie njia nyingine kumkamata, Mkuu wa usalama wa taifa, anapigwa risasi za kifuani eti alifananishwa na majambazi!,eti alikuwa anawakimbia polisi...one day TIME italeta ukweli..nadhani wanajua watanzania wamesahau sio wote, tuna cold cases nyingi tu including hii ya tapeli masanja, why mwili wa suspect uzikwe kwa haraka vile?je pathology foresinc report (kutoka kwa pathologist )sio medical assistant inasemaje kuhusu cause of death?one day it's a day yote haya yatajulikana pamoja na wahusika kujificha nyuma ya nyumba za ibada