hii thread umeanzisha wewe mkuu sasa tupe na wengine fursa ya kuchangia mazuri na mabaya na wala usiweke vitisho maana haisaidii, au tukuachie wewe uchangie TU!be caferul of what you wish for au ndio unataka kuprovoke watu wamweke wazi huyu ZADOCK kisha uje kulalama kuwa ohhh mmekuwa personal..?
hiyo ya pesa za TIB mbona hujaligusa?
unaposema niwe careful katika what i wish for una maana gani? sina ninalo wish for mkuu, nimetumia uhuru wangu kuchangia kama wengine, na wala sitazuia watu kumweka wazi kwanza mimi nani mpaka nizuie.hii thread umeanzisha wewe mkuu sasa tupe na wengine fursa ya kuchangia mazuri na mabaya na wala usiweke vitisho maana haisaidii, au tukuachie wewe uchangie TU!
hata mimi hilo limenishtua, nakwenda movie pale karibu kila friday na sijawahi kuona umeme ukikatika...hata panya sijawahi kuona.Labda time ninazoenda mimi huwa panya wamelala, na jamaa wa Tanesco wanaokata umeme nao wanakuwa movie.
kwa jamaa zadock kuna jambo la kujifunza jamani,ukifanya biashara au maissue yako yote then ukakamata hela nyingi please usifuje!hakuna kitu hela nyingi ntatumia hii kwani itaisha,afterall naingiza kibao!sasa jamaa lifestyle yake imemwangusha,jeuri kuwa anazo,haambiliki hasikii la ushauri.kuingilia mradi ambao alijua kuwa utamaishia njiani!ok hata aingie ubia na wenye nazo,mh noop huo uwezo hana kuingia mikataba mikubwa! sory for him!!
Of course kila mtu anajua kuwa kulitokea uhuni wao kupata ile sehemu na nashangaaa kwa nini wasingepewa maeneo kama kule Pugu wakaweza investment kubwa kama ile...wangejenga retail park nzuri na ardhi kubwa lakini wajanja na mafisadi kule serikalini wakaamua kuinyanganya serikali kiwanja na bila aibu viongozi wakuu serikalini washapalekwa pale kama kuendorse hiyo project
Haya tukubali ndio washaiba, mbona hawa jamaa hawamalizi huo ujenzi tujue moja? Maana bila kukuongopea wale wanaojenga/waliojenga kule milimani City naona walichukua ramani za shule na designs za correctional facilities za ulaya wakaenda kuzipeleka pale na lile jumba a cinema kila wakati umeme unakatika...bila kusahau Panya ambao nishawaona pale
who knows maybe Dar Village might bring vibe tofauti mjini lakini sijui waliotoa vibali kujenga pale kama walizingatia traffic kubwa itakayokwenda pale maana sisi pia ni ovyo kwenye hilo la traffic management
Haters wa maendeleo ya watanzania ni watanzania..sasa mlitaka hako ka-business kawe owened na mzungu..gosh! amejaribu tumpe moyo na tumpe alternative ya kujenga zaidi ala
Apelekwe kwengine ambako kunahitaji uwekezaji mbona maeneo ni mengi lazima hako ka-mradi kamoja..lolLabda wanataka mwekezaji mwarabu... u never know