Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 82
GT,
hapa wakiletwa wataalamu kutoka jumuia ya kiislam mambo yatakuwa super. Hii ni sababu nyingine ya kujiunga na jumuia ya kiislam. Au wewe unasemaje?
Harufu mbaya ya udini ishaingia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GT,
hapa wakiletwa wataalamu kutoka jumuia ya kiislam mambo yatakuwa super. Hii ni sababu nyingine ya kujiunga na jumuia ya kiislam. Au wewe unasemaje?
iko karibu na rose garden kakaHiyo Dar Village ipo mitaa gani Dar?
Kwani Jumuiya ya waislamu imeingiaje humu? mmmmh!!
mwenye kuendesha project kafulia!!!!!
si mnamjua???
GT,
hapa wakiletwa wataalamu kutoka jumuia ya kiislam mambo yatakuwa super. Hii ni sababu nyingine ya kujiunga na jumuia ya kiislam. Au wewe unasemaje?
SD,
Wakati mwingine unaweza kufikiri kuwa umesema la maana lakini kumbe unafichua kuwa ulikimbia umande wa kwenda shule. Kila thread ina title na contents zake. Hivyo kama ulikuwa na bifu na GT katika thread moja basi ukienda katika thread nyingine angalia kitu gani kinajadiliwa. Hama sivyo utaifanya JF kuwa kilabu ya chibuku. Mpinzani wako katika thread moja sio lazima awe mpinzani katika thread nyingine.
Chapes !!!!!!!!!!!!!
Iko Rose Garden road, pembeni ya rose garden bar, kama unatoka butiama kwa mwl na unaelekea sayansi.
MJ