Dar Village Project in Dar es Salaam

Dar Village Project in Dar es Salaam

Kwani Jumuiya ya waislamu imeingiaje humu? mmmmh!!
 
jamaaa nasikia mshiko umekata kiaina, kwani hata mitaa yake kiasi kapotea kiaina, fujo zake kwa warembo zimepungua , anajipanga au kaambiwa atoe mshikom wa uchaguzi ndo aendelee mwakani after election, who knowa
 
Hapo nje tu kwenye picha hiyo juu wamechemsha, wameshindwa hata kuweka maua au angalau kukata majani hayo?

Halafu that exclamation mark is so "Hatari!"

Small things but they reveal a lot.

MV5BMTg5ODY4NDcxOV5BMl5BanBnXkFtZTcwOTU3OTEyMQ@@._V1._SX100_SY140_.jpg
 
Last edited:
Umetonesha kidonda changu!!

Stimulus package = ruling party financing towards general election
 
Kwa taarifa za jikoni mwenye kuendesha hiyo project kafulia nadhani mnamfahamu.
alijiwekea lengo akabidhi mwezi wa tano nakama mna kumbukumbu aliweka bango pale kwa mwl J K Nyerere la kupangisha since may BUT mpaka leo mradi umesimama hata mafundi hawapo even some machies ameziondoa.l
 
Kwani Jumuiya ya waislamu imeingiaje humu? mmmmh!!

Labda kwa vile kuna watu humu (akiwemo GT) wanadai kuwa Tanzania ikijiunga na jumuiya ya kiislam itapata misaada kibao na umaskini utakwilia mbali.

Think Big?!!?
 
Ila ni kweli hapa ujenzi ulianza kwa kasi sana na ile kesi ya kiwanja cha rose garden nayo wakati ule ikawa Hot...lakini sijui ni financial crisiss au kuna sababu nyingine hili eneo sasa hivi kimyaaaaaa,tushaingizwa mjini tena....japo wangetoa tu tamko kama wale wenzao wa kigamboni........
 
Mwenye hiyo project ni Zadock, Mkurugenzi mtendaji na mmmiliki ya ZEK group of companies inayomiliki 1) ZK advertising group ambayo makao makuu yake aliyahamishia South Africa na ipo sehemu nying barani africa na kwa waarabu ni advertising agency inayo shikilia account ya ZAIN, 2) A1 outdoor hii ni outdoor advertising company inayomiliki billboards ya matangazo hapa tanzania na sehemu nyingi barani africa 3) ZEK Real Estate ambayo mradi wa Dar Village uko ndani yake...hayo ni kwa kifupi..

MJ
 
GT,

hapa wakiletwa wataalamu kutoka jumuia ya kiislam mambo yatakuwa super. Hii ni sababu nyingine ya kujiunga na jumuia ya kiislam. Au wewe unasemaje?

SD,

Wakati mwingine unaweza kufikiri kuwa umesema la maana lakini kumbe unafichua kuwa ulikimbia umande wa kwenda shule. Kila thread ina title na contents zake. Hivyo kama ulikuwa na bifu na GT katika thread moja basi ukienda katika thread nyingine angalia kitu gani kinajadiliwa. Hama sivyo utaifanya JF kuwa kilabu ya chibuku. Mpinzani wako katika thread moja sio lazima awe mpinzani katika thread nyingine.

Chapes !!!!!!!!!!!!!
 
SD,

Wakati mwingine unaweza kufikiri kuwa umesema la maana lakini kumbe unafichua kuwa ulikimbia umande wa kwenda shule. Kila thread ina title na contents zake. Hivyo kama ulikuwa na bifu na GT katika thread moja basi ukienda katika thread nyingine angalia kitu gani kinajadiliwa. Hama sivyo utaifanya JF kuwa kilabu ya chibuku. Mpinzani wako katika thread moja sio lazima awe mpinzani katika thread nyingine.

Chapes !!!!!!!!!!!!!

Mzuvendi,

Wewe unajua kiwango cha elimu cha Solomon David? Mbona kashfa zimekujaa hivyo mkuu? Kuna kosa gani kwa Solomon kuchangia hii thread kwa namna anavyoona bora kwake?

Solomon endeleza kazi yako na wapuuzie hawa ambao hawakukimbia umande.
 
watu wengine waropokaji kweli, hata mimi nilikuwa nashangaa, watu wanaongelea mambo endelevu, jamaa nakurupuka na jumuiya ya waislamu.

Akili Mgando hizi
 
dar village=POLITICAL CONSTRUCTION

gt,naomba contract figure!i need to prove something
 
Iko Rose Garden road, pembeni ya rose garden bar, kama unatoka butiama kwa mwl na unaelekea sayansi.

MJ

Point of correction: Ipo Garden Road, pembeni ya Rose Garden Bar

Kwa sasa hakuna kinachoendelea pale manake ujenzi umesimama na rumours kibao zinaendelea kuzunguka.
 
Back
Top Bottom