Elections 2010 Dar vipi mbona kimya

Challenger M

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
81
Reaction score
2
Jamani mbona hatupati matokeo ya Dar hasa Ilala kimyaaa wenzetu Zenj wameshamaliza. Au wanataka kuvuruga amani:A S cry::A S cry:
 
Wameshamaliza Kazi zenji sasa CCM wanahamia Bara
 
:tape:Jamani Temeke sijasikia kulikoni?
au wanaendelea na maandalizi ya uchakachuaji????
 
Dar hakuna hata jimbo moja ambalo tumetangaziwa matokeo rasmi, ukiacha diwani wa Mwananymala na Tandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…