Dar vs Lagos

Ukitaka kuona vituko pakua app yao, utachoka zaidi! Haieleweki, ukiingia inakupeleka tena kwenye web view!

Acha bongo iitwe bongo!
na kwa jinsi wanaijeria walivyo washenzi,siku nikipakua app yao sitatumia genuine mail yangu ku-create account... nitatumia fake mail....huwa siwaamini watu wa ile nchi hata kidogo.
 
Hiyo app ovyo balaa! Ilikua imevurugika, ilishinda ikigomagoma...sikuwahi itumia even once. I uninstalled it asap! Ni kirusi kile.
Hahahaha... Mnaijeria hata awe rafiki yako wa karibu,sio mtu wa kumuamini.
na kwa jinsi wanaijeria walivyo washenzi,siku nikipakua app yao sitatumia genuine mail yangu ku-create account... nitatumia fake mail....huwa siwaamini watu wa ile nchi hata kidogo.
 
Mh wanaijeria wametuzidi jaman...dar haiingii kwa lagos

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
na kwa jinsi wanaijeria walivyo washenzi,siku nikipakua app yao sitatumia genuine mail yangu ku-create account... nitatumia fake mail....huwa siwaamini watu wa ile nchi hata kidogo.
Kwenye haya mambo hakuna kumwamini mtu

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
unaokota hadi picha za Johannesburg na kuziweka Lagos lengo lako Ni nn?Kama hujui vitu uliza ww

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hakuna ya Joh mzee.

Picha moja tu pale ndiyo sio real ni plan yao hadi 2020 centre iwe hivyo.

Nionyeshe picha ya joh halafu nitakutajia majina ya majengo marefu kwenye hizo picha nilizorusha ambayo yote yapo Lagos.
 
hii ni Johannesburg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
hii ni Johannesburg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Siwezi kukubishia maana picha sijapiga mwenyewe na miji hufanana pia.

Angalia kilichofanya niiweke hiyo picha kuna Jengo linaitwa NECOM lagos
Picha ikiwa imechukuliwa kwa nyuma

Ila hapa ikachukuliwa kwa mbele
.

Note, I'm neither defending Dar nor Lagos.
 
Nmeshakwambia apo ni Lagos uache upimbi wako kama hujajipanga jipange

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…