Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Duh! East Africa, tunarushiana vijembe sana, lakini kiukweli tuko mbele.
Ukitoa Abidjan, hizo miji zingine zote huko ziko tu hivi, uchafu, majiji mabovu, miundo mbinu....kila kitu kinakaa tu kishagala baghala!