Dar vs Lagos

Dar vs Lagos

Wewe mNigeria(mpopo)?[emoji15] [emoji111]



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuweni makini wakuu hivi dar imeipiku kabisa nairobi na tunataka kuongelea lagos hapana aisee
 
Nairobee tushaanza kuwatumikisha makaburu, makajanbhai ndo next...shikamoo[emoji3] [emoji109] [emoji109]
FB_IMG_1499271002156.jpg
 
Nairobee tushaanza kuwatumikisha makaburu, makajanbhai ndo next...shikamoo[emoji3] [emoji109] [emoji109] View attachment 536876


This will NEVER happen in Kenya as Kenya mzungu anaogopewa kama AIDS. Kenya mzungu anapiga mfanyakazi na nothing will be done....Sasa njoo hapa Tanzania uone. Untouchables wa Kenya ni Kikuyus, wazungu, Indians, waarab.....yaani wakenya wana inferiority ya hajabu sana na ndiyo maana ukabila kwao hautakwisha.
 
Ongeeni kiinglish ili waje....

Sasa kama nyote mnaongea hii lugha, hawa wataelewa ni nini kinaendelea humu?
 
Back
Top Bottom