LGE2024 Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo Vituka

LGE2024 Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo Vituka

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sasa kumsifia rais ili iweje umeongea vizuri kusifia imeharibu cv yako
 
Sasa kama watu hawana kadi wanakuwaje wanachama? Mnawahujumu wapinzani kwa hila bila kujua kuwa hilarious hizo zitawarudia wenyewe!
"Upandacho ndicho utavuna"
 
20240917_130113.jpg
 
Kwenye demokrasia yoyote hizo vigisu hazikosekani. Apambane na hali yake.
 
Watu wanaipenda sana CCM ipo mioyoni mwao.
 
Back
Top Bottom