FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nani alikudanganya Tanzania ni nchi ya kidemokrasia? Mimi naona hata jina la nchi yetu ni Republic siyo Democratic.Hizi kura za maoni zimekuwa na vurugu sana CCM, hii inaashiria kutokuwepo kwa demokrasia katika taratibu za kupata wagombea kutoka kwenye chama chao.
. Hivi huu wa kutokujijuwa ni ukondoo au ujinga tu wa asili?