The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
CCM wamezoea kuua watuHizi kura za maoni zimekuwa na vurugu sana CCM, hii inaashiria kutokuwepo kwa demokrasia katika taratibu za kupata wagombea kutoka kwenye chama chao.
View attachment 3134274Huu
CCM ni majangili tupuWezi wanaibiana
Hiki chama ni cha majambazi watupu!Hizi kura za maoni zimekuwa na vurugu sana CCM, hii inaashiria kutokuwepo kwa demokrasia katika taratibu za kupata wagombea kutoka kwenye chama chao.
Kwa ccm ni kawaida hilo haliwasumbuiNyamagana, Mwanza
Moto wa Vurugu wawaka uchaguzi wa ndani CCM Nyamagana Mwanza
View: https://m.youtube.com/watch?v=63BTyguPZZw
Anachoongea huyu father ndo uhalisia.Nyamagana, Mwanza
Moto wa Vurugu wawaka uchaguzi wa ndani CCM Nyamagana Mwanza
View: https://m.youtube.com/watch?v=63BTyguPZZw