FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Oct 26, 2024 #21 Observer1 said: Hizi kura za maoni zimekuwa na vurugu sana CCM, hii inaashiria kutokuwepo kwa demokrasia katika taratibu za kupata wagombea kutoka kwenye chama chao. View attachment 3134274 Click to expand... Nani alikudanganya Tanzania ni nchi ya kidemokrasia? Mimi naona hata jina la nchi yetu ni Republic siyo Democratic. . Hivi huu wa kutokujijuwa ni ukondoo au ujinga tu wa asili?
Observer1 said: Hizi kura za maoni zimekuwa na vurugu sana CCM, hii inaashiria kutokuwepo kwa demokrasia katika taratibu za kupata wagombea kutoka kwenye chama chao. View attachment 3134274 Click to expand... Nani alikudanganya Tanzania ni nchi ya kidemokrasia? Mimi naona hata jina la nchi yetu ni Republic siyo Democratic. . Hivi huu wa kutokujijuwa ni ukondoo au ujinga tu wa asili?