DOKEZO DAR: Wachina wanakiuka Sheria ya Matangazo ya Biashara (Mass and Mid Media Banners) na hakuna anayewachukulia hatua?

DOKEZO DAR: Wachina wanakiuka Sheria ya Matangazo ya Biashara (Mass and Mid Media Banners) na hakuna anayewachukulia hatua?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu. Sheria ipo ila inakanyagwa na hakuna anayesema kitu.


e7f3797f-c9d4-4dd0-b586-00eb6f2d8aca.jpeg
67ba64fe-1ce6-4a6c-87d5-cc8ca6c265e1.jpeg
 
Ngoja wazawa waanza kuweka mabango kwa lugha ya kinyakyusa, Kiluguru, kimakonde uuone mziki wake kwa wanasiasa njaa wapenda matamko
 
Back
Top Bottom