mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 901 Reaction score 1,742 Jan 18, 2025 #1 Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu. Sheria ipo ila inakanyagwa na hakuna anayesema kitu.
Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu. Sheria ipo ila inakanyagwa na hakuna anayesema kitu.
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Jan 18, 2025 #2 Ngoja wazawa waanza kuweka mabango kwa lugha ya kinyakyusa, Kiluguru, kimakonde uuone mziki wake kwa wanasiasa njaa wapenda matamko
Ngoja wazawa waanza kuweka mabango kwa lugha ya kinyakyusa, Kiluguru, kimakonde uuone mziki wake kwa wanasiasa njaa wapenda matamko