Dar: Wafanyabiashara wawili wa bucha wakamatwa kwa kuchezesha mizani Mitaa ya Mbezi - Dar

Dar: Wafanyabiashara wawili wa bucha wakamatwa kwa kuchezesha mizani Mitaa ya Mbezi - Dar

Huyo atakuwa ana ugomvi nao hao wawili, kwanini iwe hao tu Dsm nzima wakati kuna mamia ya mizani ziko compromised si sokoni si buchani ukienda tena huko kwenye petrol stations vipimo ni balaa
HAWA WAMEKATALIWA KUPEWA PESA WANAYOTAKAAA MKUU HAWA SIO WATU UKIONA WAKISHUKA NA GARI UNAWEZA HISI WAMETOKEA BOT LOH KUMBE WANAKUJA KUKUSANYA TOZO WAKIKUTA INA SHIDAA

SIO HIOO KUNA AMBAO KABISAA WANAPEWA NO ZA SIMU IKITOKEA KUNA MSACHO AREA ZENU AKIWA OFISIN ANAKUSHTUA...UNAWEKA SAWA WAKIPITA LAZIMA JAMAA ATUMIWE AHSANTE NDIO MAISHA YANAENDA MKUU
 
"Tukiwa katika zoezi letu la ukaguzi wa mabucha ya nyama maeneo ya Mbezi Louis kwa Msuguli Dar es Salaam sisi tulinunua nyama kilo 1 katika bucha la kwanza ambapo tulipata Gramu 700 ambapo ilikuwa na mapungufu ya gramu 300," amesema Lilian
Patieni mabucha ya KAWE na TEGETA KWA NDEVU. Huko kuna wezi mabuchani wanagawana na wateja wao nyama nusu kwa nusu!!
 
Njoooooni Tegeta Kwa Ndevu upande wa Soko..... Nawahakikishia mtakamata Bucha zote za upande wa Soko....!
UNAHISI HAWAFIKI HAO WAKO KWENYE MFUMO WA TOZO MKUU WANAJIKUSANYA WANARUSHA PER MONTHS
HILI ZOEZI N GUMU KAMA KUVAA CONDOM UKIWA CHUMBAN LAKN UKIWA NJE UNAAPA KABISA SIINGII BILA ZANA WOII
 
UNAHISI HAWAFIKI HAO WAKO KWENYE MFUMO WA TOZO MKUU WANAJIKUSANYA WANARUSHA PER MONTHS
HILI ZOEZI N GUMU KAMA KUVAA CONDOM UKIWA CHUMBAN LAKN UKIWA NJE UNAAPA KABISA SIINGII BILA ZANA WOII
Kwa hiyo Hawa waliokamatwa walikua hawatoi posho...!?
 
Huu mzani umenifanya kuchukiwa na mabucha baadaya kupima wao
SDASDASDSA.jpg
 
HAWA WAMEKATALIWA KUPEWA PESA WANAYOTAKAAA MKUU HAWA SIO WATU UKIONA WAKISHUKA NA GARI UNAWEZA HISI WAMETOKEA BOT LOH KUMBE WANAKUJA KUKUSANYA TOZO WAKIKUTA INA SHIDAA

SIO HIOO KUNA AMBAO KABISAA WANAPEWA NO ZA SIMU IKITOKEA KUNA MSACHO AREA ZENU AKIWA OFISIN ANAKUSHTUA...UNAWEKA SAWA WAKIPITA LAZIMA JAMAA ATUMIWE AHSANTE NDIO MAISHA YANAENDA MKUU
Sahihi kabisa
 
KIFUPI HAWA WAMECHOMWA MKUU MIZANI NYINGI MIKOA YOTE N ZA WIZI UNAIBIWA MJUU CHUKUA NYAMA KAMA UNA MIZANI KWAKO KAPIME KAMA N KG 3 ULIZOLIPIAAAA

NDIO MAANA WAKIWA WANAKAGUA WANAKUSOGEXA PEMBEN WAKIKUTA WANAKOSA WANAELEWANA WANAMALIZANAAA

HAIJAWAHI MWACHA MTU SALAMA HII
Hapa hapa Kuna mtu alileta Uzi juzi mambo haya haya na maeneo hayo hayo nadhani.
Tuendelee kutoa taarifa wazidi kuadhibiwa.
 
Sehemu nyingi ndo zao,nyama bei kubwa na bado unapunjwa
 
Back
Top Bottom