HAWA WAMEKATALIWA KUPEWA PESA WANAYOTAKAAA MKUU HAWA SIO WATU UKIONA WAKISHUKA NA GARI UNAWEZA HISI WAMETOKEA BOT LOH KUMBE WANAKUJA KUKUSANYA TOZO WAKIKUTA INA SHIDAAHuyo atakuwa ana ugomvi nao hao wawili, kwanini iwe hao tu Dsm nzima wakati kuna mamia ya mizani ziko compromised si sokoni si buchani ukienda tena huko kwenye petrol stations vipimo ni balaa
Patieni mabucha ya KAWE na TEGETA KWA NDEVU. Huko kuna wezi mabuchani wanagawana na wateja wao nyama nusu kwa nusu!!"Tukiwa katika zoezi letu la ukaguzi wa mabucha ya nyama maeneo ya Mbezi Louis kwa Msuguli Dar es Salaam sisi tulinunua nyama kilo 1 katika bucha la kwanza ambapo tulipata Gramu 700 ambapo ilikuwa na mapungufu ya gramu 300," amesema Lilian
UNAHISI HAWAFIKI HAO WAKO KWENYE MFUMO WA TOZO MKUU WANAJIKUSANYA WANARUSHA PER MONTHSNjoooooni Tegeta Kwa Ndevu upande wa Soko..... Nawahakikishia mtakamata Bucha zote za upande wa Soko....!
Kwa hiyo Hawa waliokamatwa walikua hawatoi posho...!?UNAHISI HAWAFIKI HAO WAKO KWENYE MFUMO WA TOZO MKUU WANAJIKUSANYA WANARUSHA PER MONTHS
HILI ZOEZI N GUMU KAMA KUVAA CONDOM UKIWA CHUMBAN LAKN UKIWA NJE UNAAPA KABISA SIINGII BILA ZANA WOII
Hahaha,Huu mzani umenifanya kuchukiwa na mabucha baadaya kupima waoView attachment 3257813
Sahihi kabisaHAWA WAMEKATALIWA KUPEWA PESA WANAYOTAKAAA MKUU HAWA SIO WATU UKIONA WAKISHUKA NA GARI UNAWEZA HISI WAMETOKEA BOT LOH KUMBE WANAKUJA KUKUSANYA TOZO WAKIKUTA INA SHIDAA
SIO HIOO KUNA AMBAO KABISAA WANAPEWA NO ZA SIMU IKITOKEA KUNA MSACHO AREA ZENU AKIWA OFISIN ANAKUSHTUA...UNAWEKA SAWA WAKIPITA LAZIMA JAMAA ATUMIWE AHSANTE NDIO MAISHA YANAENDA MKUU
UKISEMA KILO NA MIMI NA THIBITISHAHahaha,
Kwa hiyo unaendaga na huo mzani wako buchani?
Waliwe tu. Ts okay.Pole sana HATA huku tegetaaa n mimba shidaa HATA ukiwachoma wanaishia kuja kula pesa zao wanaendelea na ushenzi wao inauma sana sana
Hapa hapa Kuna mtu alileta Uzi juzi mambo haya haya na maeneo hayo hayo nadhani.KIFUPI HAWA WAMECHOMWA MKUU MIZANI NYINGI MIKOA YOTE N ZA WIZI UNAIBIWA MJUU CHUKUA NYAMA KAMA UNA MIZANI KWAKO KAPIME KAMA N KG 3 ULIZOLIPIAAAA
NDIO MAANA WAKIWA WANAKAGUA WANAKUSOGEXA PEMBEN WAKIKUTA WANAKOSA WANAELEWANA WANAMALIZANAAA
HAIJAWAHI MWACHA MTU SALAMA HII