Unatetea nini, huo mkataba wewe umeuona ? Ww haupo eneo la tukio na hujui nini kimeendelea hadi hao wahandisi kushikwa, ukiambiwa wameshalipwa mabilioni na hakuna kinachoendelea utaendelea kutetea ? Tusiwe wepesi kulaumu tuuuuu, kuna usemi "kuwa kipya nako ni busara" sio kila unachoona lazima u commentKwa Kosa gani?Mbona ninachokiona hapo ni wanansiasa kuwatoa kafara wakandarasi.Nachokiona hapo ni kukosa heshima na utu kwa wakandarasi.Ninachokiona hapo ni ulimbukeni na ushamba ambao unanishangaza sana.Katika mkataba wa kazi walikubalianaje?Kwa sababu msingi wowote wa kutenda haki ni lazima uzingatie mkataba,utu,na sheria za nchi.Hizi mbwembwe hizi ni kwa ajili ya kuwazuga wananchi tu.
Mkuu kwanza unatakiwa ujue kwamba Hao ni wakandarasi ambao wana mkataba halali na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Sio vibaka wala wavamizi.Unapowazoa kama vibaka wazururaji ujue kabisa kwamba unaonesha kabisa kwamba kuna kitu kinafichwa.Kama wamekiuka Mkataba kuna taratibu za kisheria na za kimkataba ambazo naamini kabisa wangezifanya.Ila wanachokifanya hapo ni kuwanyanyasa tena bila basis yoyte ile kwa sababu unwaweka watu kizuizini kwa masaa 24 ili uwatishe wakati una mkataba nao?Kama kuna mkataba na una vipengele sahihi sioni sababu ya kuzoana kama vibaka.Kuna jambo linafichwa na jambo lenyewe ni UZEMBE na RUSHWA kwa watumishi wa JIJI LA DAR katika usimamizi wa KANDRASIUnatetea nini, huo mkataba wewe umeuona ? Ww haupo eneo la tukio na hujui nini kimeendelea hadi hao wahandisi kushikwa, ukiambiwa wameshalipwa mabilioni na hakuna kinachoendelea utaendelea kutetea ? Tusiwe wepesi kulaumu tuuuuu, kuna usemi "kuwa kipya nako ni busara" sio kila unachoona lazima u comment
Mahakamani watashinda keshi asubuhiii na mapemaHatua nzuri lakini isiishie kuwaweka ndani tu, wafikishwe mahakamani.
Miaka yote tungekua tunasimamia hivi, nchi ingekua mbali Sana.
Ndio maana wawakosea heshima na kuwatisha wakati wanajua kabisa kwamba wao wameshakula hela sasa wanawatoa kafara.JIJI LA DAR litafutiwe mtu makini anayelimuduMahakamani watashinda keshi asubuhiii na mapema
Kwani kulikuwa na ulazima gani ya kuwasukuma kiasi hicho? si wengepewa taarifa tu!Unatetea nini, huo mkataba wewe umeuona ? Ww haupo eneo la tukio na hujui nini kimeendelea hadi hao wahandisi kushikwa, ukiambiwa wameshalipwa mabilioni na hakuna kinachoendelea utaendelea kutetea ? Tusiwe wepesi kulaumu tuuuuu, kuna usemi "kuwa kipya nako ni busara" sio kila unachoona lazima u comment
Kwa Kosa gani?Mbona ninachokiona hapo ni wanansiasa kuwatoa kafara wakandarasi.Nachokiona hapo ni kukosa heshima na utu kwa wakandarasi.Ninachokiona hapo ni ulimbukeni na ushamba ambao unanishangaza sana.Katika mkataba wa kazi walikubalianaje?Kwa sababu msingi wowote wa kutenda haki ni lazima uzingatie mkataba,utu,na sheria za nchi.Hizi mbwembwe hizi ni kwa ajili ya kuwazuga wananchi tu.
Mikataba ya ujenzi ina conditions of contract ambazo zinatakiwa kufuatwa, hizi mbwembwe za wanasiasa ukosefu wa weledi and it is against the rule of law. Hii tabia haifai na kuna siku mtu atafungua kesi ya madai ya kudhalilishwa.Unatetea nini, huo mkataba wewe umeuona ? Ww haupo eneo la tukio na hujui nini kimeendelea hadi hao wahandisi kushikwa, ukiambiwa wameshalipwa mabilioni na hakuna kinachoendelea utaendelea kutetea ? Tusiwe wepesi kulaumu tuuuuu, kuna usemi "kuwa kipya nako ni busara" sio kila unachoona lazima u comment
Mkuu Rushwa sio tatizo wala haitakaa iwe tatizo.Tatizo ni ukiritimba na watu kutokuwajibika.Wakandarasi sio tatizo na wala hawatakaa wawe tatzio kwa sababu wao ni wafanya biashara ambao wako chini ya mkataba na serikali.Kma viongozi wa serikali hawana ujasiri wala uwezo wa kuwasimamia kwa mujibu wa makubaliano.Na kama viongozi wanawadai ten percent na wakati huo huo wanataka kazi ifanyike,na kama viongozi hao hawana nidhamu ya utendaji sidhani kama wanaweza kupata nafasi ya kuvurga kazi.Rushwa ipo kila mahali na hata issue nyingi zinaenda hivyo.Binafsi nafikiri udhaifu wa mifumo na uzembe wa watendaji ndo tatizo na wala sio tatizo la wakandarasi hata kidogoKuna tatizo mahali na hao wakandarasi ni sehemu ya tatizo hilo.
Tuache rushwa kwenye hizo kandarasi. Tuache kubebwa na wanasiasa. Tuombe na kupewa kazi kwa kuwa tuna vigezo.
Naichukia sana rushwa na kusema kweli haitatuacha salama
Mkuu Rushwa sio tatizo wala haitakaa iwe tatizo.Tatizo ni ukiritimba na watu kutokuwajibika.Wakandarasi sio tatizo na wala hawatakaa wawe tatzio kwa sababu wao ni wafanya biashara ambao wako chini ya mkataba na serikali.Kma viongozi wa serikali hawana ujasiri wala uwezo wa kuwasimamia kwa mujibu wa makubaliano.Na kama viongozi wanawadai ten percent na wakati huo huo wanataka kazi ifanyike,na kama viongozi hao hawana nidhamu ya utendaji sidhani kama wanaweza kupata nafasi ya kuvurga kazi.Rushwa ipo kila mahali na hata issue nyingi zinaenda hivyo.Binafsi nafikiri udhaifu wa mifumo na uzembe wa watendaji ndo tatizo na wala sio tatizo la wakandarasi hata kidogo
Hujui unachosimamia zaidi ya kukalia ushabiki. Yaani kodi zetu zimeenda, mkandarasi hayuko site na hata akiwepo anafanya kazi anavyojisikia tena chini ya kiwango halafu wewe unatetea? Huo utu unaozungumzia ni kwa upande wao tu lkn sisi Wananchi tutaabike si ndio? Kama huna hoja kaa kimya kuliko kututia hasira humu.Kwa Kosa gani?Mbona ninachokiona hapo ni wanansiasa kuwatoa kafara wakandarasi.Nachokiona hapo ni kukosa heshima na utu kwa wakandarasi.Ninachokiona hapo ni ulimbukeni na ushamba ambao unanishangaza sana.Katika mkataba wa kazi walikubalianaje?Kwa sababu msingi wowote wa kutenda haki ni lazima uzingatie mkataba,utu,na sheria za nchi.Hizi mbwembwe hizi ni kwa ajili ya kuwazuga wananchi tu.
Acha ujinga, kuna jinsi ya kuvunja mkataba ya ujenzi baina ya pande zote..yaani umemlipa mtu 15% unaenda kumkamata.Hujui unachosimamia zaidi ya kukalia ushabiki. Yaani kodi zetu zimeenda, mkandarasi hayuko site na hata akiwepo anafanya kazi anavyojisikia tena chini ya kiwango halafu wewe unatetea? Huo utu unaozungumzia ni kwa upande wao tu lkn sisi Wananchi tutaabike si ndio? Kama huna hoja kaa kimya kuliko kututia hasira humu.