Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
Serikali isizembee kuhusu tope linalotoka ardhini, mpaka sasa wstaalam wa jiolojia wanaonekana kutokuwa na uwezo lakini wanasita kusema! Jinai siku zinavyokwenda ndivyo mashimo yanayotoa tope yanaongezeka, inawezekana kutokuwepo mpango wowote wa kupata wataalamu wenye vifaa unatokana na kitokuwepo waziri husika.
Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wanatakiwa wachukue hatua za haraka kupata wataalam toka nje kwani hili si bomba lililopasuka hii ni hali ya hatari tunaposhuhudia nyumba nzima kutitia.
Hapo ndio ninaposhindwa kuelewa vitope hivyo mbona maumivu yamekuwa mengi kwa wananchi?
[emoji3][emoji2][emoji1][emoji2][emoji3][emoji1787]Wanaume wa dar nao mnanishangaza. Kwetu huku watoto wamgekuwa wanatumia tope hilo kubumba magari midoli vijumba n.k [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jambo hili linawiki moja sasa na lipo kwenye taarifa za habari na hata kwenye simu yako limo, nitakuja kukuonesha kwenye simu yako maana wewe hauna muda wa kufungua!Mleta uzi kabda ya kuwatupia lawama UD na wewe ungeonyesha uwezo na weledi kwa kuweka angalau picha ya hilo tope
Kwenye TV ilioneshwa nyumba ambayo imezama kabisa linaonekana bati la paa tu na baadhi ya nyumba zimebomoka, hili litakuja kuwa janga maana kila siku mashimo yanaongezeka na wakazi wa hapo wanahofu kubwa huku sisi hofu yetu ni Chadema tu.Niliona itv hiyo picha nazani mpiga picha aliogopa kusombwa na tope maana maelezo na picha nliyoona ni mbingu na ardhi, watu wanaogopa halafu kinachoogopwa sikioni ila nikajiambia nazeeka sasa
Hilo swali waulize hao wataalam wa jiolojia wa UDSM ambao walikwenda hapo.Kuna uhusiano gani na wataalamu wa UDSM na ilo tope? Hata kama wangepewa kazi si inapaswa wafanye utafiti na kuandika report
Hivi unajua kuna tume ya Jiologia Tanzania??
Yule alikuwa mpiga ramri, anaeleza kuwa chanzo ni vishindo vya magari na watu wanaopita kwenye eneo hilo! Alionekana siku ya kwanza hana hata kabisibisi ka kuchokonoa mwamba! Alipokuja tena akaleta hizo theory zake za darasa la saba! Hapo ndipo nikamuona hana uwezo ni mpiga ramri tu.Mtaalamu alikuwa anajaribu kukumbuka theory zake alizomeza chuo, yule mtaalamu wa miamba prof. muhongo bado hajatafutwa..
Picha tafuta kwenye kundi lako la kuchati kugegeda kimasihara, hicho ndicho tulichobobea.lete picha maneno weka siasani.
Kwa hiyo madaraja yetu, barabara na uwanja tutakuwa tumekula hasara.kuna probability dar nzima kuzama. Ilikadiliwa miaka zaid ya 200 yakua dar itamezwa na maji. Hivo hilo la kunduch ni manyunyu mvua yaja. Pia kuna kitu kingine kinachoitwa plate tectonic movement nayo inaenda kas sana. Hivo nikipata mda tutajadili pamoja ila dar ipo zone mbaya sana na si mara ya kwanza maeneo makubwa, ikiwemo visiwa kuzama kabisa.
Hii picha ya chini ina shape ya kike.
Gwajima ataeza zuia topeNiliona itv hiyo picha nazani mpiga picha aliogopa kusombwa na tope maana maelezo na picha nliyoona ni mbingu na ardhi, watu wanaogopa halafu kinachoogopwa sikioni ila nikajiambia nazeeka sasa
Hawajui kuwa kila dakika inayokwenda haitarudi nyuma na ndivyo tatizo linavyoongezeka.Wasomi wetu waonyeshe uzalendo
Mkono kiunoni[emoji1787][emoji1787] Love your imagination!Hii picha ya chini ina shape ya kike.
HahahahImeisha hiyo