Dar: Wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa volcano ya tope, watakiwa kuhama

Mkuu hiki ulichoandika ni nini!?
Au ni google translator!?
 
Umebadilika sana siku hizi, au umekosa udiwani ndugu? 😀
 
Kwahiyo Jangwani Magomeni Dar ni mahali pakame?
 
Hata Uingereza ardhi ni mali ya serikali.
 
Serikali isizembee kuhusu tope linalotoka ardhini, mpaka sasa wstaalam wa jiolojia wanaonekana kutokuwa na uwezo lakini wanasita kusema! Jinai siku zinavyokwenda ndivyo mashimo yanayotoa tope yanaongezeka, inawezekana kutokuwepo mpango wowote wa kupata wataalamu wenye vifaa unatokana na kitokuwepo waziri husika.

Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wanatakiwa wachukue hatua za haraka kupata wataalam toka nje kwani hili si bomba lililopasuka hii ni hali ya hatari tunaposhuhudia nyumba nzima kutitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…