Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Seeing is believingPicha ya nini?? au wewe ni geologist??
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] mkuu edit comment yako haujaeleweka.Siyo laxima mleta post aweke picha,mbo sakata la tope kunduchi limetanfazwa sana,
Tusione aibu juwaleta na mabebelu,sisi hatuna uwezo
Itakuwa na wewe ni mjiolojia, mbona hujaenda kusaidia huko?Mud volcano
Seeing is believing
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] mkuu edit comment yako haujaeleweka.
Niliona mtaalam wa jiolojia kutoka idara husika akitoa ufafanuzi huku akiangaza macho huku na huko, body language ikionyesha dhahiri anaelezea kwa shida mambo aliyokaririshwa vitabuni huku akilazimisha yafanane na tukio hilo.Siyo laxima mleta post aweke picha,mbo sakata la tope kunduchi limetanfazwa sana,
Tusione aibu juwaleta na mabebelu,sisi hatuna uwezo
Imeisha hiyoNiliona mtaalam wa jiolojia kutoka idara husika akitoa ufafanuzi huku akiangaza macho huku na huko, body language ikionyesha dhahiri anaelezea kwa shida mambo aliyokaririshwa vitabuni huku akilazimisha yafanane na tukio hilo..
Niliona mtaalam wa jiolojia kutoka idara husika akitoa ufafanuzi huku akiangaza macho huku na huko, body language ikionyesha dhahiri anaelezea kwa shida mambo aliyokaririshwa vitabuni huku akilazimisha yafanane na tukio hilo..
Mtaalamu alikuwa anajaribu kukumbuka theory zake alizomeza chuo, yule mtaalamu wa miamba prof. muhongo bado hajatafutwa..Niliona mtaalam wa jiolojia kutoka idara husika akitoa ufafanuzi huku akiangaza macho huku na huko, body language ikionyesha dhahiri anaelezea kwa shida mambo aliyokaririshwa vitabuni huku akilazimisha yafanane na tukio hilo..