Watu wenye Ulemavu waliobomolewa vibanda vyao vya biashara katika Mkoa wa Dar es Salaam, wamepiga kambi usiku kucha nje ya Ofisi za Shirika la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) Masaki wakiomba hifadhi kwa madai ya kushindwa kusikilizwa na Viongozi wa Mkoa na Wilaya.