Dar: Walemavu waliobomolea vibanda vya biashara waomba hifadhi UNHCR

Kwa wazima hawapo wa kuwabebea hizo bidhaa!?
 
Hii nchi ngumu sana aisee 🤣 🤣
Hawa walemvu waajiriwa ndio walioanzisha mabanda ya wamachinga, miaka mingi iliyopita serikali iliwaruhusu walemavu tu wafanye biashara barabarani lakini walemavu wakaajiriwa ili watumiwe kuweka biashara za wenye maduka, huo ndio ukawa mwanzo wa mabanda barabarani hivyo wanataka kuyarudisha kwa staili hiyo.
 
Hao UN wanahusika vipi na Mambo ya ndani wao si wanadili nawakimbizi
 
Wapo kazini hao

Waache ujinga mbona nina kuku mlemavu wa mguu na anataga!!
 
KUNA VITU TUNAVIENDEKEZA TU KUNA MSEMO WAZUNGU WANASEMA DISABILITY NOT INABILITY

PIA SIDHANI KAMA KUTUMIA ULEMAVU KUJIDAI WANATETEA UMACHINGA KUKAA SEHEMU ISIYO SAHIHI NI SAWA
Acha roho mbaya ya waz waz mkuu..haikusaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…