figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Treni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi Tegeta.
Nia ni kufungua Dar es Salaam na kutanua huduma kwa Wananchi.
Sasa Tegeta kwenda kuwa kitovu cha biashara kwa Wananchi wa Bagamoyo.
Tayari Reli ipo ya kuanzia Mjini kati hadi Ubungo. Lengo ni kuunganisha Kariakoo na Tegeta kwa haraka sana
Sasa Utaweza kutoka Dodoma hadi Tegeta bila kupanda Daladala.
Nampongeza sana Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kwa kuwa mfano mzuri kwa Viongozi kwani ni hakika anawatumikia Watanzania.
Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
Kwa Ufupi Dar itatengenezwa njia ya Treni km 160. Tegeta Mwenge Posta na Mwenge Tazara.
Hii Reli itajengwa kwa haraka kwa sababu itajengwa mfumo wa PPP.
Hongereni sana Watanzania