Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upuuzi tupu.Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Treni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi Tegeta.
Nia ni kufungua Dar es Salaam na kutanua huduma kwa Wananchi.
Sasa Tegeta kwenda kuwa kitovu cha biashara kwa Wananchi wa Bagamoyo.
Tayari Reli ipo ya kuanzia Mjini kati hadi Ubungo. Lengo ni kuunganisha Kariakoo na Tegeta kwa haraka sana
Sasa Utaweza kutoka Dodoma hadi Tegeta bila kupanda Daladala.
Nampongeza sana Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kwa kuwa mfano mzuri kwa Viongozi kwani ni hakika anawatumikia Watanzania.
Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
Kwa Ufupi Dar itatengenezwa njia ya Treni km 160. Tegeta Mwenge Posta na Mwenge Tazara.
Hii Reli itajengwa kwa haraka kwa sababu itajengwa mfumo wa PPP.
Hongereni sana Watanzania
ChoiceVariable 🤣🤣🤣🤣Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
SHIDA ILIANZIA HAPO ULIPOSEMA UMEPENYEZWA TAARIFA
Zibomolewe tu, kwa nini walijenga juu ya reliNiliwahi sikia kuwa reli ilikuwepo miaka hiyoo kuelekea kiwanda Cha cement wazo. Wakiamua fufua line hiyo baadhi ya nyumba mbezi beach zitabomolewa.
Una akili timamu? Siku zote umekuwa mtu wa kudhalilisha wenzio wanaotoa hoja zao. Una matatizo gani?Jana ulikunywa Bingwa ngapi? Usije ukawa ulichanganya na K-Vant, unaweza kumbaka mkweo. Afadhali wewe umeishia kuota reli ya Tegeta!