figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Huo ndo ukweli. Hutaki unaacha.Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
SHIDA ILIANZIA HAPO ULIPOSEMA UMEPENYEZWA TAARIFA
Je ukiwaliza hao wakazi wapo tayari kupokea hayo matreni au uharibifu na kukosa ufanisi kama mwendo kasi!Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Tuleni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi Tegeta.
Nia ni kufungua Dar es Salaam na kutanua huduma kwa Wananchi.
Sasa Tegeta kwenda kua kitovu cha biashara kwa Wananchi wa Bagamoyo.
Tayari Reli ipo ya kuanzia Mjini kati hadi Ubungo. Rengo ni kuunganisha Kariakoo na Tegeta kwa haraka sana
Sasa Utaweza kutoka Dodoma hadi Tegeta bila kupanda Dalala.
Nampongeza sana Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kwa kuwa mfano mzuri kwa Viongozi kwani ni hakika anawatumikia Watanzania.
Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
Kwa Ufupi Dar itatengenezwa njia ya Treni km 160. Tegeta Mwenge Posta na Mwenge Tazara.
Hii Reli itajengwa kwa haraka kwa sababu itajengwa mfumo wa PPP.
Hongereni sana Watanzania
Sasa kama ni kweli kapenyezewa?Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
SHIDA ILIANZIA HAPO ULIPOSEMA UMEPENYEZWA TAARIFA
Jana ulikunywa Bingwa ngapi? Usije ukawa ulichanganya na K-Vant, unaweza kumbaka mkweo. Afadhali wewe umeishia kuota reli ya Tegeta!Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Tuleni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi Tegeta.
Nia ni kufungua Dar es Salaam na kutanua huduma kwa Wananchi.
Sasa Tegeta kwenda kua kitovu cha biashara kwa Wananchi wa Bagamoyo.
Tayari Reli ipo ya kuanzia Mjini kati hadi Ubungo. Rengo ni kuunganisha Kariakoo na Tegeta kwa haraka sana
Sasa Utaweza kutoka Dodoma hadi Tegeta bila kupanda Dalala.
Nampongeza sana Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kwa kuwa mfano mzuri kwa Viongozi kwani ni hakika anawatumikia Watanzania.
Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
Kwa Ufupi Dar itatengenezwa njia ya Treni km 160. Tegeta Mwenge Posta na Mwenge Tazara.
Hii Reli itajengwa kwa haraka kwa sababu itajengwa mfumo wa PPP.
Hongereni sana Watanzania
Mchoro wa route za hiyo treni wapi?Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Tuleni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi Tegeta.
Nia ni kufungua Dar es Salaam na kutanua huduma kwa Wananchi.
Sasa Tegeta kwenda kua kitovu cha biashara kwa Wananchi wa Bagamoyo.
Tayari Reli ipo ya kuanzia Mjini kati hadi Ubungo. Rengo ni kuunganisha Kariakoo na Tegeta kwa haraka sana
Sasa Utaweza kutoka Dodoma hadi Tegeta bila kupanda Dalala.
Nampongeza sana Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kwa kuwa mfano mzuri kwa Viongozi kwani ni hakika anawatumikia Watanzania.
Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
Kwa Ufupi Dar itatengenezwa njia ya Treni km 160. Tegeta Mwenge Posta na Mwenge Tazara.
Hii Reli itajengwa kwa haraka kwa sababu itajengwa mfumo wa PPP.
Hongereni sana Watanzania
Wamempenyezea πTaarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
SHIDA ILIANZIA HAPO ULIPOSEMA UMEPENYEZWA TAARIFA
Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Tuleni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi Tegeta.
Nia ni kufungua Dar es Salaam na kutanua huduma kwa Wananchi.
Sasa Tegeta kwenda kua kitovu cha biashara kwa Wananchi wa Bagamoyo.
Tayari Reli ipo ya kuanzia Mjini kati hadi Ubungo. Rengo ni kuunganisha Kariakoo na Tegeta kwa haraka sana
Sasa Utaweza kutoka Dodoma hadi Tegeta bila kupanda Dalala.
Nampongeza sana Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kwa kuwa mfano mzuri kwa Viongozi kwani ni hakika anawatumikia Watanzania.
Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
Kwa Ufupi Dar itatengenezwa njia ya Treni km 160. Tegeta Mwenge Posta na Mwenge Tazara.
Hii Reli itajengwa kwa haraka kwa sababu itajengwa mfumo wa PPP.
Hongereni sana Watanzania
Bwashee June mwakani barabara ya Mwendokasi Kutoka Posta hadi Boko Dawasa itakuwa imekamilikaJe ukiwaliza hao wakazi wapo tayari kupokea hayo matreni au uharibifu na kukosa ufanisi kama mwendo kasi!
Sorry mkuu wana make vipi profit Trc ya daslamuSerikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Tuleni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi Tegeta.
Nia ni kufungua Dar es Salaam na kutanua huduma kwa Wananchi.
Sasa Tegeta kwenda kua kitovu cha biashara kwa Wananchi wa Bagamoyo.
Tayari Reli ipo ya kuanzia Mjini kati hadi Ubungo. Rengo ni kuunganisha Kariakoo na Tegeta kwa haraka sana
Sasa Utaweza kutoka Dodoma hadi Tegeta bila kupanda Dalala.
Nampongeza sana Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kwa kuwa mfano mzuri kwa Viongozi kwani ni hakika anawatumikia Watanzania.
Taarifa hii nimepenyezewa na Kamishina wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ,Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila nilipokutana naye Dar es Salaam.
Kwa Ufupi Dar itatengenezwa njia ya Treni km 160. Tegeta Mwenge Posta na Mwenge Tazara.
Hii Reli itajengwa kwa haraka kwa sababu itajengwa mfumo wa PPP.
Hongereni sana Watanzania
Bwashee June mwakani barabara ya Mwendokasi Kutoka Posta hadi Boko Dawasa itakuwa imekamilika
Hii ni ya Kisasa zaidi na Vituo vyake Mabasi 10 yanaweza kupaki kwa wakati Mmoja
Mwandyosa alikuwa na mpango wa kuleta Boti kuanzia Mbweni - Ununio - Kunduchi - Mbezi chini- Kawe- Msasani - Kivukoni lakini ilishindikana
Gogo wawapelekee Mbagala huko
Kule Gongolamboto ni Huduma tu Kwa Jami SR πSorry mkuu wana make vipi profit Trc ya daslamu
Kila kitu ni kama wacha tuone!Bwashee June mwakani barabara ya Mwendokasi Kutoka Posta hadi Boko Dawasa itakuwa imekamilika
Hii ni ya Kisasa zaidi na Vituo vyake Mabasi 10 yanaweza kupaki kwa wakati Mmoja
Mwandyosa alikuwa na mpango wa kuleta Boti kuanzia Mbweni - Ununio - Kunduchi - Mbezi chini- Kawe- Msasani - Kivukoni lakini ilishindikana
Gogo wawapelekee Mbagala huko π
Kutokea Maziwa inatobolea wapi maana nikitazama kuna mitambo ya umeme, matenki ya mafuta ya Tanesco, kuna Breweries, Chibuku, Ubungo terminal, Kijazi bridge, Kagame hotel, Kibadamo hotel, Mall ya wachina pale old UBT nkTreni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi Tegeta.