Dar: Wananchi wa Tegeta kuanza kutumia Usafiri wa Treni hadi Kariakoo

Niliwahi sikia kuwa reli ilikuwepo miaka hiyoo kuelekea kiwanda Cha cement wazo. Wakiamua fufua line hiyo baadhi ya nyumba mbezi beach zitabomolewa.
 
Ni upuuzi tupu.
 
Niliwahi sikia kuwa reli ilikuwepo miaka hiyoo kuelekea kiwanda Cha cement wazo. Wakiamua fufua line hiyo baadhi ya nyumba mbezi beach zitabomolewa.
Zibomolewe tu, kwa nini walijenga juu ya reli
 
Bado mna ndoto ya kukusanya watu Kariakoo sio? Hv hamuqezi waza kuelekeza maeneo mengine ya masoko kuondoa msongamano Kariakoo?
 
Jana ulikunywa Bingwa ngapi? Usije ukawa ulichanganya na K-Vant, unaweza kumbaka mkweo. Afadhali wewe umeishia kuota reli ya Tegeta!
Una akili timamu? Siku zote umekuwa mtu wa kudhalilisha wenzio wanaotoa hoja zao. Una matatizo gani?
 
Treni ifike bagamoyo sio bunju tena iwe sgr ili ipunguze msongamano Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…