Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Washtakiwa 18 wa makosa ya uhaini yaliyotokana na vurugu za Oktoba 29, 2025 wamerejeshwa rumande kusubiri tarehe iliyopangwa kurudi tena mahakamani hapo kuendelea na kesi hizo.
Jumla ya washtakiwa 198 kati ya 216 waliofikishwa leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wameachiwa huru ambapo ndugu, jamaa na marafiki walijitokeza mahakamani hapo kwa ajili ya kuwapokea.