Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Mmh sshv madanga hayataki ujinga
sasa wewe watu tunahenya kutafuta hela tunakukodishia nyumba alafu wewe unaenda kkuwapa watu mbususu hovyo hovyo lazima wakutoe uhai. ten ashukuru katolewa uhai wengine wanakutia kilema utaabike mpaka siku unaingia kaburini. kama mie wala nisingmuua huyo bibie, ningemwambia mwana amtoboe macho basi amuache.
 
Uyo jamaa nimjinga tu, mi ukila pesayangu wakati nakuhudumia kilakitu sipotezi muda kuwaza naleta virikuu viwili nasomba kilakitu wakiniuliza nawaambia nahama.

Chumba/ nyumba natia kufuli kodiyangu ikiisha narudisha funguo kwa mwenye nyumba.
Ila watu [wanaume] wanawezaje kumhudumia mwanamke kila kitu?

Mimi mwanamke asiye na mwelekeo, asiye na uwezo wa kujihudumia yeye mwenyewe kwa kutumia akili, juhudi, na bidii zake, wala hanivutii.

Anaweza kunivutia kumkula tu, basi. Si zaidi, na si pungufu ya hapo.

Kama hajui kuandika vizuri, kuandika sentensi zilizonyooka kwa kutumia sarufi nzuri, ni dalili kuwa kichwani hajiwezi vizuri.

Huwa sielewi watu wanafikiaje hatua ya kumgharamia mwanamke karibu kila kitu!!!

Kisa pussy tu? Mbona pussy zipo nyingi tu hapa duniani tena zisizo na gharama kabisa!

Oh well, wote hatuwezi kufanana.

To each his own.
 
Siwaelewi wanaume wanaogharamia wanawake kila kitu. Why do they do that?

Na siwaelewi wanawake wanaozifanya sehemu zao za siri kuwa mtaji!

Anywho, wote wahusika kwenye huu msala naona wamekipata walichokuwa wanakitafuta.

But I’ll never ever throw my life away because of some pussy.

I love myself too much. And next pussy is always the best pussy, anyway.

Mchuchu akinizingua,I cop the next one.

Dunia ina mabilioni na mabilioni ya wanawake.

Siwezi kosa.
 
kumbe mwanawane unapenda mbususu kuliko mie. ila kweli kabisa usemalo y uanze kumpangishia demu nyumba wakati unaweza mpaka laki mbili ukamgegeda usiku huo kwa raha zako alafu bye bye off to the next mbususu
 
Si ndo hapo!
yaani kumpangishia tu,labda pia na biashara kamfungulia huwezi jua ,yaani mtu atoe 1.7 uuawe sio mchezo inawezekana Ali invest haswa!
Nawe unauaje kwa pesa ndogo hivyo
 
Mi ningemla na ningeendelea kumla!

Utauaje ua zuri kama hilo????

Too bad sikuwahi kupishana naye huyo dada uso kwa macho.

Mhmmm, hapo inatakiwa kula maramoja then unatafuta namna ya kujihami, huyo jamaa alisha chukizwa vyakutosha na huyo demu wake.

Sasa ukijifanya unaona tamu, asinge shindwa kuwaondoa wote.
 
Hahahahahahah naunga mkono hojaπŸ˜‚ tatizo ni kumjua sasa mwanamke mwenye pesa za kuunga unga
 
Hili nalo neno! Baunsa angekula mzigo na hela halafu angezuga kumbe mtoto alizimia hakufa vizuri πŸ˜…
 
huyu mdada kumbe ndo tabia zake. Kisa mnene mweupe ndo akafanya watu madanga yake. Duh!! yani huku amepata kibano na huko kwa Mungu anakwenda kupambana na kibano kingine. Au kwa kibano walichompa huku Mungu atamsamehe?
Si unajua wanawake wanatabia kuunganisha na madanga
Sema kuna wengine vyao haviliwagi,kihisia wakiumizwa wanaumia kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakina dada wawe makini tu na wawe fair

Poleni wafiwa

Ova
 
Soo sad, ila mdau mmoja alikuwa tayr ameshatoa uzi wa barke kuuwawa lakin watu walikuwa wakibisha
Kulikua na utata Wa maelezo ya kutolewa figo, nahis ilikua ni uongo maana hata polisi hayo maelezo ya kutolewa figo hawajayatoa , figo zitakua zilichomolewa hospital , mtu Wa kawaida kuchomoa figo hapana aisee
 
Kutoa mtu figo inahitaji utaalam ikiwezekana zaidi ya mmoja wameruhusu vipi chumba zaidi ya watu 2 au ile ingia toka hawakuhisi kitu
Hio guest nayo ichunguzwe
Kwan taarifa za polisi zinasema alichomolewa figo guest ?
 
Ingia jela kwa ajali kazini na sio sijui nimegharamia Hakuna mwanadamu yeyeto mwenye mamlaka ya kumiliki mtu hata kama umemuoa.
Kwann uhangaike na nyanya moja iliyooza hali zipo tele shambani.
Mimi shemeji yenu akianza timbwili lake mapema najiondokea zangu mtaani tarudi baadae pepo litakuwa lishamtoka kwann niende jela kwa mapenzi, jela tunaingia kwa upambanaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…