Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Taarifa ya polisi inasema amekiri kupewa 1.2 kwa vipindi tofauti,anadai laki 5Alipewa 1.7 cash kabla ya kutekeleza mauaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa ya polisi inasema amekiri kupewa 1.2 kwa vipindi tofauti,anadai laki 5Alipewa 1.7 cash kabla ya kutekeleza mauaji.
Nachukulia mambo serious sana mie , huwa sitaki mtu anaiharibie siku .
Ignoring is the best option kwangu .
Wel saidSafi sana, ila usiruhusu kuharibiwa siku na mtu ambae hata humjui, ni kuwapuuzia tu kama hakija tokea kitu.
sasa wewe watu tunahenya kutafuta hela tunakukodishia nyumba alafu wewe unaenda kkuwapa watu mbususu hovyo hovyo lazima wakutoe uhai. ten ashukuru katolewa uhai wengine wanakutia kilema utaabike mpaka siku unaingia kaburini. kama mie wala nisingmuua huyo bibie, ningemwambia mwana amtoboe macho basi amuache.Mmh sshv madanga hayataki ujinga
Wel said
Hakuna haja ya kugombana na stranger
Ila watu [wanaume] wanawezaje kumhudumia mwanamke kila kitu?Uyo jamaa nimjinga tu, mi ukila pesayangu wakati nakuhudumia kilakitu sipotezi muda kuwaza naleta virikuu viwili nasomba kilakitu wakiniuliza nawaambia nahama.
Chumba/ nyumba natia kufuli kodiyangu ikiisha narudisha funguo kwa mwenye nyumba.
Siwaelewi wanaume wanaogharamia wanawake kila kitu. Why do they do that?sasa wewe watu tunahenya kutafuta hela tunakukodishia nyumba alafu wewe unaenda kkuwapa watu mbususu hovyo hovyo lazima wakutoe uhai. ten ashukuru katolewa uhai wengine wanakutia kilema utaabike mpaka siku unaingia kaburini. kama mie wala nisingmuua huyo bibie, ningemwambia mwana amtoboe macho basi amuache.
kumbe mwanawane unapenda mbususu kuliko mie. ila kweli kabisa usemalo y uanze kumpangishia demu nyumba wakati unaweza mpaka laki mbili ukamgegeda usiku huo kwa raha zako alafu bye bye off to the next mbususuSiwaelewi wanaume wanaogharamia wanawake kila kitu. Why do they do that?
Na siwaelewi wanawake wanaozifanya sehemu zao za siri kuwa mtaji!
Anywho, wote wahusika kwenye huu msala naona wamekipata walichokuwa wanakitafuta.
But I’ll never ever throw my life away because of some pussy.
I love myself too much. And next pussy is always the best pussy, anyway.
Nawe unauaje kwa pesa ndogo hivyoSi ndo hapo!
yaani kumpangishia tu,labda pia na biashara kamfungulia huwezi jua ,yaani mtu atoe 1.7 uuawe sio mchezo inawezekana Ali invest haswa!
Mi ningemla na ningeendelea kumla!
Utauaje ua zuri kama hilo????
Too bad sikuwahi kupishana naye huyo dada uso kwa macho.
Kweli!Mhmmm, hapo inatakiwa kula maramoja then unatafuta namna ya kujihami, huyo jamaa alisha chukizwa vyakutosha na huyo demu wake.
Sasa ukijifanya unaona tamu, asinge shindwa kuwaondoa wote.
Hahahahahahah naunga mkono hoja😂 tatizo ni kumjua sasa mwanamke mwenye pesa za kuunga ungaKuna rafiki yangu wa kiume anasemaga hatembei na mwanamke ambae wako level tofauti kijamii. Na anasemaga hata kwa wanawake pia inatakiwa kuwa hivyo. Watu wengi ambao wanajihisi wako jamii ya chini dhidi ya wapenzi huwa wako bitter na control freaks. Mfano mwanamke hana kazi anapewa kila kitu na mwanaume siku yule mwanaume akimuacha lazima mwanamke atafanya vingi vya ajabu ikiwezekana hata kujiua. Same applies kwa wanaume type ya White muuaji. Barke ni kisu haswa, white aliamini kwa pesa zake angemmliki Barke peke ake. Alishajua yeye na Barke ni jamii mbili tofauti akalazimisha kwa pesa...
White angekua ni mtu ana pesa zake asingeumia kulipa kodi eti atoe uhai sana sana angeelewa tu Barke hampendi anafanya maisha mengine.
Kwa kuandika haya ukiona mwanaume maisha yake ya kuunga unga usile pesa yake, kama humtaki bora ukae nae mbali tu. Na sio tu kula pesa hata usidate nae maana ukishadate nae utakula pesa yako na hiyo ndo itakutumbukia nyongo baadae.
Wanaume wasio na hela wanakuaga na hasira hasira na wanajua wanawake wanawakataaga kwa sababu hiyo ndo maana hata akiachwa anaona kaachwa kwa sababu hiyo kumbe mapenzi yanaishaga.
Hili nalo neno! Baunsa angekula mzigo na hela halafu angezuga kumbe mtoto alizimia hakufa vizuri 😅Hilo baunsa jinga sana mtoto mzuri namnaile lina muua!!.
Ningekuwa mimi ningechukua ela ninge kula tamu alaf namwambia oyaa tayari nimesha uwa tumapesayangu iliyo baki haraka kabla sijakufata na wewe.
Nachkua albakiyangu alaf namwambia dem poa baby see you next time.
Jinga sana hili bounsa.
Si unajua wanawake wanatabia kuunganisha na madangahuyu mdada kumbe ndo tabia zake. Kisa mnene mweupe ndo akafanya watu madanga yake. Duh!! yani huku amepata kibano na huko kwa Mungu anakwenda kupambana na kibano kingine. Au kwa kibano walichompa huku Mungu atamsamehe?
Picha tafadhaliAlikua Mzuri Maa shaa Allah.....
Waliotenda huo unyama waadhibiwe ipasavyo.
Tumeni account yake ya insta tumuoneBarke Pesa, toto toto kweli.
Kulikua na utata Wa maelezo ya kutolewa figo, nahis ilikua ni uongo maana hata polisi hayo maelezo ya kutolewa figo hawajayatoa , figo zitakua zilichomolewa hospital , mtu Wa kawaida kuchomoa figo hapana aiseeSoo sad, ila mdau mmoja alikuwa tayr ameshatoa uzi wa barke kuuwawa lakin watu walikuwa wakibisha
Kwan taarifa za polisi zinasema alichomolewa figo guest ?Kutoa mtu figo inahitaji utaalam ikiwezekana zaidi ya mmoja wameruhusu vipi chumba zaidi ya watu 2 au ile ingia toka hawakuhisi kitu
Hio guest nayo ichunguzwe