JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
naona wahusika wote labda waliona watumie vizuri jina chuo huria
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Prof. Elifas Bisanda ameliomba Jeshi la polisi kuwafikisha Mahakamani haraka iwezekenavyo watuhumiwa 17 waliokamatwa wakijaribu kuwafanyia mtihani wanafunzi mbalimbali chuoni hapo.
Prof. Bisanda ameyasema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari akizungumzia kukamatwa kwa watuhumiwa hao.
Profesa Bisanda amesema chuo kipo tayari kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo ikiwemo vielelezo.
Video: Azam TV
hvi nape yupo kituo gani vile

hatari sana kwa afya ya taifa.Chuo kikuu unafanyiwa mtihani, kesho unakuwa mkuu wa mkoa au wilaya, hivi tutamlaumuje yule wa kule ?
ndio hapo sasa! waje tubebe tu tofali saitiWamechomeshana!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hela inatafutwa kwa namna yoyote ile, hivi hao wanaofanyiwaga mitihani huwa wao hawana uwezo? Sasa chuo wanafanya nn? Khaaah
nasikia kule wanapaita huria yaani ukozako porini unavuna alizeti kule mwenzako anakupigia tu pepa freshWamechomeshana!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hela inatafutwa kwa namna yoyote ile, hivi hao wanaofanyiwaga mitihani huwa wao hawana uwezo? Sasa chuo wanafanya nn? Khaaah
Naunga mkono hoja, yule muda wa kusoma madesa anautoa wapi na tayar ana kibunda kwenye vipolo.Inasemekana na nape Moses nauye Naye ni miongoni mwa waliofanyiwa mtihani.kwa Nini wanaificha hii habari ya nape nauye kufanyiwa mtihani?
Open watu wanaenda jitafutia gamba tu, 90% ni wafanyakazi.Wamechomeshana!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hela inatafutwa kwa namna yoyote ile, hivi hao wanaofanyiwaga mitihani huwa wao hawana uwezo? Sasa chuo wanafanya nn? Khaaah
Nilikuwa na ndoto za kwenda kusoma huko OUT.
Most ya wanaofanyiwaga mitihani huwa ni wale wanafunzi ambao wapo kazini/kwenye ajira.Wamechomeshana!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hela inatafutwa kwa namna yoyote ile, hivi hao wanaofanyiwaga mitihani huwa wao hawana uwezo? Sasa chuo wanafanya nn? Khaaah
Mbona hata wao wanawafanyia.hivi vyuo havina tija vinapokea rushwa na kuwapa mitihani wanachuo ili wafaulu.mm napendekeza vifutweChuo kikuu unafanyiwa mtihani, kesho unakuwa mkuu wa mkoa au wilaya, hivi tutamlaumuje yule wa kule ?