ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Uko sawa Kwa maana hiyo ila mzunguko wa hela Dar haujajileta Bali umetengenezwa na Serikali na ndio maana tunailamu kutengeneza mzunguko wa hela Kwa Nchi kutegemea Mkoa mmja Kwa 80%.Takwimu hizi pia zituongoze, tunaishi wapi, tunafungua biashara wapi, sasa kakae sehemu hata haina mzunguko wa fedha
Hovyo kabisa na aibu kubwaHuo ni ujinga wa CCM badala ya kuboresha miji mikuu yote ya Kikanda wao nado wanarundika kila kitu Dar es Salaam!
Si zote na si maeneo yote japo ujengaji wa kutumia mbao upo sehemu nyingi sana.Hujui kitu wewe.Marekani nyumba zao hadi ghorofa hujengwa kwa mbao sio matofali ya simenti au nguzo za nzege na simenti ndio maana moto ule ukiteketeza hadi maghorofa
View: https://youtu.be/Jhy1k6_GBQQ?si=inShS0LDUAivhpz-
We bwege upo dodoma...?
Kama huoni Cha ajabu uku huna akili na mada imekuzidi uwezo.Cha ajabu nini hapo? Dar wanakusanya sababu ndio bidhaa zinaingia lakini wanunuzi ni Tanzania nzima kila kinachopita hapo walaji ni Tanzania nzima kwa hiyo ni makusanyo ya Tanzania nzima sababu Dar hawazalishi kitu ni huduma tu zi kibiashara,
Kweli kabisa, nadhani pia kunahitajika mkakati maalum wa ku-boost utalii kanda ya ziwa, na kuweka uwekezaji wa kimkakati.Uko sawa Kwa maana hiyo ila mzunguko wa hela Dar haujajileta Bali umetengenezwa na Serikali na ndio maana tunailamu kutengeneza mzunguko wa hela Kwa Nchi kutegemea Mkoa mmja Kwa 80%.
Hii takwimu ina walakini aeleze vizuri makusanyo ya mikoa mingine yanaingia chungu kipi.MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini.
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati wa hafla ya kuwapa tuzo walipa kodi bora wa mikoa ya kikodi ya Dar es Salaam kwa mwaka 2023/2024.
Mwenda alisema Dar es Salaam ni mkoa wa kipekee kwa kuwa kuna mikoa mitano ya kikodi: Ilala, Temeke, Kinondoni, Tegeta na Kariakoo. “Licha ya kuwa na mikoa mitano ipo Idara ya Forodha na ina mikoa mitatu mikubwa, kuna Kituo cha Huduma Maalumu, Kituo cha Kukusanya Kodi za Mafuta na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambako tunakusanya kodi,” alisema.
Mwenda alisema sababu hizo na nyinginezo ziliwezesha TRA ikusanye Sh trilioni 16.5 kuanzia Julai hadi Desemba mwaka 2024 na kati ya fedha hizo trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Habari Leo
===
MY TAKE
Kitendo cha Nchi kutegemea asilimia 80% ya Mapato Kwa Mkoa mmja wa Dar ni jambo la ajabu na la kushangaza na inaonesha jinsi Nchi Ina uneven distribution of resources. Pia soma Miaka Zaidi ya 60 Baada ya Uhuru,Tanzania Imeshindwa Kuondoa Mizizi ya Ukoloni Kwa Nchi kuwa tegemezi wa Uchumi na Mapato Kwa Jiji Moja tuu la Dar
Hatuwezi kuendelea na utaratibu huu,ni muda muafaka sasa Kwa Serikali kutawanya maendeleo na economic centres kwenye Kila Kanda.
Kwamba Mikoa 25 inakusanya Trilioni 3.5 yaani hata nusu ya Mapato ya Dar hayafiki harafu Walioko kwenye Utawala wanaona sawa tuu.
Hivi tuna watu wa Mipango kweli? Hivyo Vyuo vyenu vya Planning mnafundisha nini Sasa?
Ngoja ije itokee Dar kuwa paralysed siku Moja Kwa tukio.loloye ndipo akili zitawajia maana Mtu mweusi Huwa hajifunzi na hana akili za kesho Hadi apigwe tukio.
Hayo hawawezi kutokea kama watu wanaona ni sawa Kwa status quo iliyopo Hadi waje watu wenye akili tofauti.Kweli kabisa, nadhani pia kunahitajika mkakati maalum wa ku-boost utalii kanda ya ziwa, na kuweka uwekezaji wa kimkakati.
Chingu kipi kiaje? Taarifa Iko wazi hapo nini hujaelewa?Hii takwimu ina walakini aeleze vizuri makusanyo ya mikoa mingine yanaingia chungu kipi.
Kwa takwimu hizo ina maana Dsm pekee kwa mwezi inachangia Tillion 2.5+ kwa mwezi
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini.
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati wa hafla ya kuwapa tuzo walipa kodi bora wa mikoa ya kikodi ya Dar es Salaam kwa mwaka 2023/2024.
Mwenda alisema Dar es Salaam ni mkoa wa kipekee kwa kuwa kuna mikoa mitano ya kikodi: Ilala, Temeke, Kinondoni, Tegeta na Kariakoo. “Licha ya kuwa na mikoa mitano ipo Idara ya Forodha na ina mikoa mitatu mikubwa, kuna Kituo cha Huduma Maalumu, Kituo cha Kukusanya Kodi za Mafuta na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambako tunakusanya kodi,” alisema.
Mwenda alisema sababu hizo na nyinginezo ziliwezesha TRA ikusanye Sh trilioni 16.5 kuanzia Julai hadi Desemba mwaka 2024 na kati ya fedha hizo trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Habari Leo
===
MY TAKE
Kitendo cha Nchi kutegemea asilimia 80% ya Mapato Kwa Mkoa mmja wa Dar ni jambo la ajabu na la kushangaza na inaonesha jinsi Nchi Ina uneven distribution of resources. Pia soma Miaka Zaidi ya 60 Baada ya Uhuru,Tanzania Imeshindwa Kuondoa Mizizi ya Ukoloni Kwa Nchi kuwa tegemezi wa Uchumi na Mapato Kwa Jiji Moja tuu la Dar
Hatuwezi kuendelea na utaratibu huu,ni muda muafaka sasa Kwa Serikali kutawanya maendeleo na economic centres kwenye Kila Kanda.
Kwamba Mikoa 25 inakusanya Trilioni 3.5 yaani hata nusu ya Mapato ya Dar hayafiki harafu Walioko kwenye Utawala wanaona sawa tuu.
Hivi tuna watu wa Mipango kweli? Hivyo Vyuo vyenu vya Planning mnafundisha nini Sasa?
Ngoja ije itokee Dar kuwa paralysed siku Moja Kwa tukio.loloye ndipo akili zitawajia maana Mtu mweusi Huwa hajifunzi na hana akili za kesho Hadi apigwe tukio.
Soma hapa zaidi Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023
Sasa wewe mwenye akili ulitegemea mkoa wa Mara uwe kama Dar? TRA wanakusanya kodi bandarini bidhaa zote za Tanzania zinapita bandarini na zinalipiwa kodi pale sasa unataka iweje, Iringa wawe kama Dar? Sasa wewe mwenye akili tuambie tatizo ni nini?Kama huoni Cha ajabu uku huna akili na mada imekuzidi uwezo.
Mafuta ya nchi nzima yanalipiwa kodi Dar bandarini nchi nzima unadhani kitu kidogo hicho. Containers zote zinalipiwa Dar hayo mafuta yakipita hapo na bidhaa mikoani hazilipiwi kitu zinapita tu. Bado unashangaaKama huoni Cha ajabu uku huna akili na mada imekuzidi uwezo.
Unaelewa maana ya even distribution of resources?Sasa wewe mwenye akili ulitegemea mkoa wa Mara uwe kama Dar? TRA wanakusanya kodi bandarini bidhaa zote za Tanzania zinapita bandarini na zinalipiwa kodi pale sasa unataka iweje, Iringa wawe kama Dar? Sasa wewe mwenye akili tuambie tatizo ni nini?
This is the kind of nonsense am talking about,and you people you view it as okay,ubongo wa kuku na unfortunately watu wengi wa hivi ndio wako huko kwenye vitengo vya maamuzi ya kimkakati.Mafuta ya nchi nzima yanalipiwa kodi Dar bandarini nchi nzima unadhani kitu kidogo hicho. Containers zote zinalipiwa Dar hayo mafuta yakipita hapo na bidhaa mikoani hazilipiwi kitu zinapita tu. Bado unashangaa
Sasa unaongelea sera hapa sio uhalisia, ziko sababu nyingi meli zinakuja Dar kwanza ni bandari kubwa na iko equipped na pia wafanya biashara walioshinda tender wako Dar. Wewe ukiagiza container lako utashusha Mara? kwanza meli gani itakushushia Mara sababu gharama zitakuwa kubwa ikiwa Tanga tu na Mtwara ni shida. Kama unaleta hoja za kisera hiyo ni mjadala mwingine hapa ni wewe unayeshangaa Dar kukusanya 80% ndio nauliza unashangaa nini?Unaelewa maana ya even distribution of resources?
Kwani inashindikana nini Mkoa wa Mara kuwa kama Dar kimapato? Kuna ulazima gani wa bidhaa za Mkoa wa mara kwenda Dar wakati zinaweza pita port ya Dar na Musoma port kuwa modernized?
Kama mada imekuzidia uwezo pisha.
Mfano mzuri pia ni mitandao ya simu! Collection zote zinafanyika Dar es Salaam!Cha ajabu nini hapo? Dar wanakusanya sababu ndio bidhaa zinaingia lakini wanunuzi ni Tanzania nzima kila kinachopita hapo walaji ni Tanzania nzima kwa hiyo ni makusanyo ya Tanzania nzima sababu Dar hawazalishi kitu ni huduma tu zi kibiashara,
TRA hawawezi ongeza mapato sehemu ambayo hayo mapato hamna, unataka wakabe na kubambikia kodi watu?Hii ndio post yako ya kwanza nayoiona imejaa ukweli. Umesema jambo la maana sana na sio kwamba unamtukana wala kumuone mtu.
Lazima TRA wajipange kuongezea wigo wa mapato. Kila mkoa wana ofisi na vitendea kazi kibao. Kwanini msako mkali uwe mkoa mmoja tu?