Hapo 35% unazungumzia state tatu! Huwezi kulinganisha na huku kwetu 80% tunazungumzia mkoa mmoja tena wenye eneo dogo la ardhi kuchukua kuzalisha mapato 80%!Hata USA pamoja na utajiri wao mkubwa GDP yao almost 35% inatoka California, Texas na NY states zingine 47 wanachangia 65% tu ni kawaida na sababu zipo kwanini.
Chawa una maneno machafu sana..... Ungekuwa karibu ningefumua hilo fuvu akili ikukae sawa.Kama huoni Cha ajabu uku huna akili na mada imekuzidi uwezo.
Sasa Dar si wanayo bandari kuu wewe kayumba? Unadhani hizo trilioni 13 ni za Mbagala au Mburahati???MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini.
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati wa hafla ya kuwapa tuzo walipa kodi bora wa mikoa ya kikodi ya Dar es Salaam kwa mwaka 2023/2024.
Mwenda alisema Dar es Salaam ni mkoa wa kipekee kwa kuwa kuna mikoa mitano ya kikodi: Ilala, Temeke, Kinondoni, Tegeta na Kariakoo. βLicha ya kuwa na mikoa mitano ipo Idara ya Forodha na ina mikoa mitatu mikubwa, kuna Kituo cha Huduma Maalumu, Kituo cha Kukusanya Kodi za Mafuta na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambako tunakusanya kodi,β alisema.
Mwenda alisema sababu hizo na nyinginezo ziliwezesha TRA ikusanye Sh trilioni 16.5 kuanzia Julai hadi Desemba mwaka 2024 na kati ya fedha hizo trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Habari Leo
===
MY TAKE
Kitendo cha Nchi kutegemea asilimia 80% ya Mapato Kwa Mkoa mmja wa Dar ni jambo la ajabu na la kushangaza na inaonesha jinsi Nchi Ina uneven distribution of resources. Pia soma Miaka Zaidi ya 60 Baada ya Uhuru,Tanzania Imeshindwa Kuondoa Mizizi ya Ukoloni Kwa Nchi kuwa tegemezi wa Uchumi na Mapato Kwa Jiji Moja tuu la Dar
Hatuwezi kuendelea na utaratibu huu,ni muda muafaka sasa Kwa Serikali kutawanya maendeleo na economic centres kwenye Kila Kanda.
Kwamba Mikoa 25 inakusanya Trilioni 3.5 yaani hata nusu ya Mapato ya Dar hayafiki harafu Walioko kwenye Utawala wanaona sawa tuu.
Hivi tuna watu wa Mipango kweli? Hivyo Vyuo vyenu vya Planning mnafundisha nini Sasa? Mambo kama haya ndio yanafanya watu waamini mtu mweusi hajatimia kichwani.
Ngoja ije itokee Dar kuwa paralysed siku Moja Kwa tukio.loloye ndipo akili zitawajia maana Mtu mweusi Huwa hajifunzi na hana akili za kesho Hadi apigwe tukio.
Soma hapa zaidi Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023
Acha kuota ndo za mchanaWewe hujanielewa. Kwa mfano tsunami imeupiga mji huo na kila kitu kika cease hali itakuwaje? Au umejifungia kwenye kona moja ya moto ulioteketeza nyumba za mbao?
Hii sio mada ya watu wenye akili ndogo kama wewe.Sasa Dar si wanayo bandari kuu wewe kayumba? Unadhani hizo trilioni 13 ni za Mbagala au Mburahati???
Ndogo au siyo? Hii sio mada ya watu wenye akili ndogo,hata tetemeko.limaweza tokea na kuvurunda kila kitu hapo achilia mbali tsunami au kimbunga.Acha kuota ndo za mchana
Yes 3 lakini states kule kama nchi tu zinajitegemea kwa kiasi kikubwa, California tu ni kama nusu ya Tanzania, yaani California ukiziunga mara mbili kama Tanzania yote. Huku Dar ilipendelewa miaka yote toka tunapata uhuru kwingine kuliachwa sana hivi sasa ndio kidogo miji mingine inajitutumua. Sasa state moja kama California kuchangia 14% ni kitu kikubwa sana. State 3 35% na zingine 47 ndio 65% ni kama kila state 1% tu ni tofauti kubwa sana.Hapo 35% unazungumzia state tatu! Huwezi kulinganisha na huku kwetu 80% tunazungumzia mkoa mmoja tena wenye eneo dogo la ardhi kuchukua kuzalisha mapato 80%!
Huna akili ,mada imekuzidi uwezo nenda kule unakoweza.Chawa una maneno machafu sana..... Ungekuwa karibu ningefumua hilo fuvu akili ikukae sawa.
Very very badHapo 35% unazungumzia state tatu! Huwezi kulinganisha na huku kwetu 80% tunazungumzia mkoa mmoja tena wenye eneo dogo la ardhi kuchukua kuzalisha mapato 80%!
Ona hii chawa.....Huna akili ,mada imekuzidi uwezo nenda kule unakoweza.
Uwezo wako ni hapo kwenye neno chawa badala ya kujadili mantiki ya mada ππOna hii chawa.....
Aise watu wa mikoani vipi mnatuangushaYaani mikoa yote iliyobaki ikiungaishwa bado haiifukuzi Dar hata kwa mbali! Hii haijakaa sawa!
Hakuna anaekuangusha,ni mipango mibovu kabisa ya serikali kuweka Rasilimali zote za njia kuu za Uchumi Dar sawa na ilivyokuwa wakati wa UkoloniAise watu wa mikoani vipi mnatuangusha
Ziko hapo Juu kwenye mada ya Mikoa fungua link utaona.Tuwekewe na Takwimu za mikoa mingine ili twende tukatatafute fursa kuliko kulundikana Dar.
Chawa unajitambua kweli ....???Uwezo wako ni hapo kwenye neno chawa badala ya kujadili mantiki ya mada ππ
Upo sawa lakini endapo limetokea janga moto au tetemeko kwisha habari tutayumba kidogo mwandishi nimemuelewa kuwa serikali ijaribu kusambaza miundombi rafiki ya ukuzaji uchumi katika mikoa mingine zaidi ili kuweka usawa ikitokea Jiji Moja limepigwa tukio Bado majiji mengine yana ishi Mfano RUSSIA KAWEKEZA Africa kusini Nishat ya nuclear, Niger, Burkina Faso Syria pakiwaka sehemu Moja kwingine safiHakuna kitu cha kulaumu hapo , ndio maana utafutaji wa Dar ukitumia akili ni rahisi kupata pesa. Vitu vingi vya kustimulate uchumi viko Dar huu ni ukweli mchungu