nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Walioko Dar wametokea wapi, tuliza makalio bwanamdgWewe Sasa ni WA ajabu kweli kweli.Kwamba Watanzania wale wale wote wako hapo Dar?
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini.
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati wa hafla ya kuwapa tuzo walipa kodi bora wa mikoa ya kikodi ya Dar es Salaam kwa mwaka 2023/2024.
Mwenda alisema Dar es Salaam ni mkoa wa kipekee kwa kuwa kuna mikoa mitano ya kikodi: Ilala, Temeke, Kinondoni, Tegeta na Kariakoo. “Licha ya kuwa na mikoa mitano ipo Idara ya Forodha na ina mikoa mitatu mikubwa, kuna Kituo cha Huduma Maalumu, Kituo cha Kukusanya Kodi za Mafuta na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambako tunakusanya kodi,” alisema.
Mwenda alisema sababu hizo na nyinginezo ziliwezesha TRA ikusanye Sh trilioni 16.5 kuanzia Julai hadi Desemba mwaka 2024 na kati ya fedha hizo trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Habari Leo
===
MY TAKE
Kitendo cha Nchi kutegemea asilimia 80% ya Mapato Kwa Mkoa mmja wa Dar ni jambo la ajabu na la kushangaza na inaonesha jinsi Nchi Ina uneven distribution of resources. Pia soma Miaka Zaidi ya 60 Baada ya Uhuru,Tanzania Imeshindwa Kuondoa Mizizi ya Ukoloni Kwa Nchi kuwa tegemezi wa Uchumi na Mapato Kwa Jiji Moja tuu la Dar
Hatuwezi kuendelea na utaratibu huu,ni muda muafaka sasa Kwa Serikali kutawanya maendeleo na economic centres kwenye Kila Kanda.
Kwamba Mikoa 25 inakusanya Trilioni 3.5 yaani hata nusu ya Mapato ya Dar hayafiki harafu Walioko kwenye Utawala wanaona sawa Dependency ya hivi Kwa Mkoa mmja Haina Afya kiuchumi na ni hatari sana kiusalama.
Hivi tuna watu wa Mipango kweli? Hivyo Vyuo vyenu vya Planning mnafundisha nini Sasa? Mambo kama haya ndio yanafanya watu waamini mtu mweusi hajatimia kichwani.
Ngoja ije itokee Dar kuwa paralysed siku Moja Kwa tukio.loloye ndipo akili zitawajia maana Mtu mweusi Huwa hajifunzi na hana akili za kesho Hadi apigwe tukio.
Soma hapa zaidi Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023
Mada imekuzidi uwezo wa akili Yako.Dar Es Salaam ndo Tanzania, ni Jiji muhimu Kwa Uchumi wa nchi
Ndio jibu lenyeweIna maana hizo 3.5m ni makusanyo ya mikoa yote ya Tanzania ukiacha Dar?
Has nothing to do with uvivu,kwani wewe wa hapo Dar imefanya efforts ipi ya kujenga viwanja, Bandari nk?alafu mikoani ambayo ina makada wengi na wanachama wanaobubujikwa na machozi kwa ccm ndio wavivu kupindukia,kuna haja ya CCM kutoa mitaji na elimu ya ujasiriamali kwa wanachama wake.
Wametokea kwenye kizibo chakoWalioko Dar wametokea wapi, tuliza makalio bwanamdg
Uchumi umesoma wapi ...ulipata supp eeh?? GDP sio hela ni kitu ganiDar ndio sehemu pekee ambayo Ina Bahari na Bandari pekee? Kwa nini Bandari zingine zisiwe developed?
Harafu GDP sio hela na Wala haileti au.kuingiza hela.
Dar ikiwa paralysed hata kama mnazalisha huko ila mlango wa kuizia au.ku exports uko Dar Haina maana.
Acha uongoHata USA pamoja na utajiri wao mkubwa GDP yao almost 35% inatoka California, Texas na NY states zingine 47 wanachangia 65% tu ni kawaida na sababu zipo kwanini.
With last December's release of GDP numbers by the Bureau of Economic Analysis (BEA), the top five states – which contribute 41% of the total U.S. GDP in 2022 – were California, Texas, New York, Florida, and Illinois, in that order. Figure 1 shows the real GDP for these states in trillions of dollars. Size mattersAcha uongo
Na Kodi zetu zote za nyumba zinazokatwa kwenye LUKU kila mwezi zinakatiwa Dar, halafu wanaonekana wao ndio wamelipa!!Mfano mzuri pia ni mitandao ya simu! Collection zote zinafanyika Dar es Salaam!
Sasa mada ni GDP au mapato ya kodi ...maana alicholeta mtoa uzi ni mapato ya kodi sio GDP ...sio ajabu kwa nchi kuwa na GDP kubwa kwenye eneo moja kuliko mengine ila ni ajabu kwa nchi kuwa na collection ya mapato kubwa eneo moja kuliko mikoa mingineWith last December's release of GDP numbers by the Bureau of Economic Analysis (BEA), the top five states – which contribute 41% of the total U.S. GDP in 2022 – were California, Texas, New York, Florida, and Illinois, in that order. Figure 1 shows the real GDP for these states in trillions of dollars. Size matters
Sijui kama utaelewa ila acha uvizu soma sio kukurupuka tu, ikiwa states 5 tu zinachangia 41% hiyo 59% gawa kwa states 45 au hesabu ngumu tukusaidie.
Jinga kweli,kama GDP ni hela Mwanza ingekuwa namba 2 Kwa kuchangia pesa nyingi ,badala yake inazidiwa Hadi na Songwe 😁😁Uchumi umesoma wapi ...ulipata supp eeh?? GDP sio hela ni kitu gani
Hii sio mada ya watu wenye ubongo wa kuku.Tunategemea Dsm iboreshwe zaidi kuendana na uchumi wake, hasa Miundombinu yake hasa road etc, ili isaidie kukuza uzalishaji zaidi!