Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Yaani unawashangaa Wabongo kujaa kwenye matukio wakati kazi hawana?! Tafuta clip ya Msiba wa Kanumba na Ruge Mutahaba!!! Bongo hata akifa Amber Rutty kisha tukio lipate airtime na hatimae kupelekwa Taifa, lazima nyomi liwepo!!!
Hii ni tofauti watu wanalia na baadhi kuzimia kabisa.
 
Hata ruge alijaza nyomi, pia watanzania hufatilia mambo ku chabo haihusiani na upendo mie mwenyewe nimeenda kuchabo msafara wake na haihusiki na upendo
We mwendawazimu wa mtandaoni!
Katafute cheti halali kwa kusoma, usihamishie uzembe wako kuchukia wasiochukiwa mfyuuuuu!
 
Hayo ni mawazo yako ila ukweli mnaujua by the way huwezi pendwa na kila mtu wewe mwenyewe huwezi pendwa kila sehemu.
 
Hata ruge alijaza nyomi, pia watanzania hufatilia mambo ku chabo haihusiani na upendo mie mwenyewe nimeenda kuchabo msafara wake na haihusiki na upendo
Wewe bila shaka una bifuna zaradi sababu ulikua unaiba mzigo wake
 
Nilichogundua ni kwamba magufuli anapendwa Sana na watu wenye maisha ya kawaida ila Kwa watu wlioguswa biashara, kazi na mambo yao hawamkubari ila kiaslimia magufuli anapendwa na watu wengi ukilinganisha na wasiompenda. Sana Sana wasiompenda wapo JF.
Futa maneno yako hayo ya mwishoni.Tupo Wana JF tuliompenda bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…