Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha [emoji23]Dakika ya kwanza tunaongoza maana bado hawajatupiga 4g zetu
Nenda SS4,Nachek hapa mkuu sion chochote kile zaid ya vipind vyao
Hello GT.
Mwenye kujua matokeo ya hii MECHI please let's me know .Niko Kijijini ,
Nadhani hii timu yangu itafanya vizuri Leo wakuu ,
Kama umedownload app ya azam tv, check ZBC 2 wanaonyesha. Yanga kashapigwa kimoja MkuuHello GT.
Mwenye kujua matokeo ya hii MECHI please let's me know .Niko Kijijini ,
Nadhani hii timu yangu itafanya vizuri Leo wakuu ,
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa mpira huu wanaocheza yanga, timu ya sekondari ina afadhali