Dar: Yanga walala mabao 3-2 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya

Mapema Yanga weshaanza kupimiwa.

Leo ni kuomba Mungu tu kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Hello GT.
Mwenye kujua matokeo ya hii MECHI please let's me know .Niko Kijijini ,
Nadhani hii timu yangu itafanya vizuri Leo wakuu ,


Dakika ya 4 kipindi cha kwanza, Yanga iko nyuma 1 - 0. Na kwa jinsi Yanga inavyocheza ni bora tu waache kushiriki mashindano ya kimaita. Wako very useless, ni Tshishimbi pekee ndiye anayecheza mpira wa akili. Yanga ife tu!
 
Sekunde ya 38 ya mchezo Goerge Odhiambo anaiandikia Gor Mahia holi la kwanza dhidi ya Yanga ya Tanzania.Mchezo wa marudiano kombe la shirikisho Afrika
 
Hello GT.
Mwenye kujua matokeo ya hii MECHI please let's me know .Niko Kijijini ,
Nadhani hii timu yangu itafanya vizuri Leo wakuu ,
Kama umedownload app ya azam tv, check ZBC 2 wanaonyesha. Yanga kashapigwa kimoja Mkuu
 
Yanga wamewahi kupata ushindi wowote hatua za makundi michuano ya Afrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…