Uranium Ipo, hapa tunapaswa kuwaalika Iran waje kuchimba, utaona USA, UK na wakubwa wengine wanakuja kutujengea mitambo ya Nuclear buree, kwa matumizi ya kufua umeme, sisi hatuna mikakati ya kina kisiasa na kiuchumi.si kuna uranium bongo.D😀😀
I totally fail to understand the mind that alleges a mere 'mfagizi' is authorised to switch off umeme, even in an illeterate and non caring nation tht can't happenkukatika umeme ni jambo ambalo halistuii sana hapa nyumbani, ila kwakawaida wanakata umeme kunapokua na matukio makubwa kama mechi kubwa za mpira, ama kunatukio mnalingojea kwa hamu kwenye vyombo vya habari, umeme Tanzania ni anasa tu, nasikia mtu yoyote pale TANESCO hata mfagiaji anakata tu umeme...
tukio la leo kukatika umeme sehemu kubwa ya nnchi ni tishio kiusalama, kiuchumi na ni usumbufu.kwetu, kama kuna dharula ni vyema ikatangazwa, na watu wakajipanga.
Juma hili linaloisha kumeripotiwa vifo pale hospitali ya Temeke vilivyotokea katika vyumba vya upasuaji baada ya TANESCO kukata umeme kwa makusudi (maana hakuna taarifa hadi leo kwanini walikata) na jenereta za dharula kushindwa kumudu kuhudumia Hospitali nzima....
Wabongo bana, is this a breaking nuwz? How many times this event occurs in a yr?
iNAWEZA ISIKUINGIE AKILINI SANA, LAKINI HABARI NDIO HIYO,.I totally fail to understand the mind that alleges a mere 'mfagizi' is authorised to switch off umeme, even in an illeterate and non caring nation tht can't happen
I also fail to understand the linkage with big events and shut downs? I pledge that we all post stuff that we can back
Gridi ya taifa iki trip it means its an emergency technical fault it has nothing to do with planned outages that are announced its because of technical faults caused with 220KV transmission line
It can't be announced prior to its happening because its unplanned technical fault, I wish an engineer will get in and try to put some sense in this quote because its beyond imagination to authorise mfagizi, or plan outage on special events
U should know transmission lines are aging, the load is too much and when the coy tries to get thru and rehabilitate and improve dar, tht is isolating the huge load and relieve outage, 'know it all kakobe' stops it for vipaza sauti...do I hear someone shouts traitor!! At me for posting this?? On this case so be it ! Do ur research and speak facts, condemn but praise logically
Naona tatizo la taifa hata Arusha hakuna umeme kuanzia saa 0620.
Nunueni generators!hata huku Tanga umeme umekatika mpaka muda huu ,nadhani ni tatizo TZ yote
Kinondoni ipi mkubwa mbona kuna msela wangu kanipigia simu kaniambia kote umekalasi?Someni mwananchi pg 12 maeneo yameainishwa ndo maana kinondoni haujakatika.
Maeneo mengi umeme utarudi saa 11 mpaka 12 jioni
Thax
Kugeuza urafiki uliopo na Marekani kwa uadui yataka moyo. Na nina uhakika aina ya viongozi tulionao hawawezi kufanya hili. Ila kama ingekuwa Marekani kwenyewe ambako "there is no permanent friend but permanent interest for their nation" wangeweza kufanya hili hata kama litasababisha vita lakini kwa maslahi ya taifa lao huwa wako tayari kwa lolote.Uranium Ipo, hapa tunapaswa kuwaalika Iran waje kuchimba, utaona USA, UK na wakubwa wengine wanakuja kutujengea mitambo ya Nuclear buree, kwa matumizi ya kufua umeme, sisi hatuna mikakati ya kina kisiasa na kiuchumi.
Poleni wadau wenzetu ila am sur ya Kilosa hayawezi kutokea tenaMorogoro umeathiriwa sana na mvua na upepo jana na hivyo leo maeneo mengi mpaka sasa saa 7 kasorobo hayana umeme.
Poleni wadau wenzetu ila am sure ya Kilosa hayawezi kutokea tenaMorogoro umeathiriwa sana na mvua na upepo jana na hivyo leo maeneo mengi mpaka sasa saa 7 kasorobo hayana umeme.
makubwa tena haya!!!!!!!
Nasikia ilikuwa maeneo mengi sana, mpaka Arusha, Morogoro, nk. Si mchezo.Kwani nani kasema kukatika umeme Tanzania ni dharula?
Wewe unaona wadau wenyewe ndiyo kwanza wanashukuru.
sijapata nafasi ya kukaa nao bar, ila nimepata nafasi ya kufanya nao kazi and i know they cant do that, mpaka umeme uzimwe ni lazima kibali kiombwe na ruhusa itolewe na maelezo ya kina kwa nini umeme unazimwa, kwavile umeme ukizimwa inamaana revenue is lost so people wont just switch offiNAWEZA ISIKUINGIE AKILINI SANA, LAKINI HABARI NDIO HIYO,.
kuna jambo moja kubwa lipo wazi kuwa TANESCO wanaweza kuzima umeme saa saba wakawasha saa nane usiku, hiyo fault wameiona saa ngapi,for me if they switch off saa saba and switch on saa nane it doesnt mean they are doing it on purpose it means feeder has tripped and it shows in their grid control center ( i had done my field work with them before getting employment ) then all they do is the operator to return teh feeder
na wamerekebisha saa ngapi, kinachotokea ni kuwa hiyo inakua gea ya kuombea extra duty allowance, kua kulikua na dharula wakaenda kuhangaikia.
extra duty allowance is not permittable under the current ELRA unless it is endorsed in company policy, they cant ask for extra duty because the workers are there 24hrs so teh emergency gang will be responsible for rectification
chukulia mfano huo wa Hospitali ya TEMEKE kushindwa kufanya Operation kwa siku ya j4 na J5 kisha Tanesco wakakaa kimya hapo ujue hawana maelezo, ilikua mdau tu anatafuta pesa za kazi ya ziada anafanyiza mtambo hapo ndipo idea ya mfagizi ilipo,
i havent heard of this but i think since they have launched their website you can get in www.tanesco.co.tz and post a complaint about it, within 24hrs all complaints are attended to... kama Kweli IEE regulation zingekua zinafuatwa hakuna haja ya kuzima umeme wakati kazi zinaendelea ....na ndi maana lipo somo la how to deal with Live circuit NA iee regulation inatoa maelekezo ya kina.
and i think this is where we get to technicality that, sometimes it is a man made fault fuso linagonga nguzo kimara au mbezi umeme unakatika, huwezi ukazima feeder yote, you will only isolate that specific area and wait for maintenance gang in the morning who are equiped to repair it, otherwise ukiacha wires bare watu watanaswa na umeme..
Dunia ya kwanza hakuna zimazima ya umeme kama hapa nyumbani, si kwasababu mitambo yao ni mizuri ila wanawez kudeal with live circuit wakati wanatatua matatizo.
this i agree because they are way advanced and we have ageing network..food for thought
hilo la matukio makubwa kitaifa nakupa muda chunguza...walizima umeme mji mzima mechi ya Stars vs Mozambique, walizima juzi siku ya Ivorry Coast na WAALEGERIA, na kama ukipata bahati kukaa nao bar hawajamaa utasikia majisifu yao.;....funguka macho.
wabongo bwana kazi kwelikweli, eti IEE regulation inasema hivi mara inasema vile. Hivi kweli kama imetokea labda tusema earth fault kwenye transmission line hiyo IEE utai-apply vipi hapo. Dunia ya kwanza wenzako wana namna nyingi ya kukabiliana na matukio ya dharura kama haya, moja wapo ni kwamba transmission line zao ni double circuit. Power plant zao sio za kizamani kama zetu ambazo ukiwasha generator mpaka uanze process ya ku-sychronise mambo ya frequency na makolo kolo mengine manually. Wenzako mambo yanajipa ki-auto. Hao unaokutana nao bar pengine ni wasoma meter ambao pengine hawajui hata hao watu wanao-control system na transmission wanakofanyia kazi.iNAWEZA ISIKUINGIE AKILINI SANA, LAKINI HABARI NDIO HIYO,.
kuna jambo moja kubwa lipo wazi kuwa TANESCO wanaweza kuzima umeme saa saba wakawasha saa nane usiku, hiyo fault wameiona saa ngapi, na wamerekebisha saa ngapi, kinachotokea ni kuwa hiyo inakua gea ya kuombea extra duty allowance, kua kulikua na dharula wakaenda kuhangaikia. chukulia mfano huo wa Hospitali ya TEMEKE kushindwa kufanya Operation kwa siku ya j4 na J5 kisha Tanesco wakakaa kimya hapo ujue hawana maelezo, ilikua mdau tu anatafuta pesa za kazi ya ziada anafanyiza mtambo hapo ndipo idea ya mfagizi ilipo, kama Kweli IEE regulation zingekua zinafuatwa hakuna haja ya kuzima umeme wakati kazi zinaendelea ....na ndi maana lipo somo la how to deal with Live circuit NA iee regulation inatoa maelekezo ya kina.
Dunia ya kwanza hakuna zimazima ya umeme kama hapa nyumbani, si kwasababu mitambo yao ni mizuri ila wanawez kudeal with live circuit wakati wanatatua matatizo.
hilo la matukio makubwa kitaifa nakupa muda chunguza...walizima umeme mji mzima mechi ya Stars vs Mozambique, walizima juzi siku ya Ivorry Coast na WAALEGERIA, na kama ukipata bahati kukaa nao bar hawajamaa utasikia majisifu yao.;....funguka macho.
Nasikia ilikuwa maeneo mengi sana, mpaka Arusha, Morogoro, nk. Si mchezo.