iNAWEZA ISIKUINGIE AKILINI SANA, LAKINI HABARI NDIO HIYO,.
kuna jambo moja kubwa lipo wazi kuwa TANESCO wanaweza kuzima umeme saa saba wakawasha saa nane usiku, hiyo fault wameiona saa ngapi, na wamerekebisha saa ngapi, kinachotokea ni kuwa hiyo inakua gea ya kuombea extra duty allowance, kua kulikua na dharula wakaenda kuhangaikia. chukulia mfano huo wa Hospitali ya TEMEKE kushindwa kufanya Operation kwa siku ya j4 na J5 kisha Tanesco wakakaa kimya hapo ujue hawana maelezo, ilikua mdau tu anatafuta pesa za kazi ya ziada anafanyiza mtambo hapo ndipo idea ya mfagizi ilipo, kama Kweli IEE regulation zingekua zinafuatwa hakuna haja ya kuzima umeme wakati kazi zinaendelea ....na ndi maana lipo somo la how to deal with Live circuit NA iee regulation inatoa maelekezo ya kina.
Dunia ya kwanza hakuna zimazima ya umeme kama hapa nyumbani, si kwasababu mitambo yao ni mizuri ila wanawez kudeal with live circuit wakati wanatatua matatizo.
hilo la matukio makubwa kitaifa nakupa muda chunguza...walizima umeme mji mzima mechi ya Stars vs Mozambique, walizima juzi siku ya Ivorry Coast na WAALEGERIA, na kama ukipata bahati kukaa nao bar hawajamaa utasikia majisifu yao.;....funguka macho.