DOKEZO Daraja la Boko Magengeni kuelekea Bulumawe lipo hatarini kubomoka

DOKEZO Daraja la Boko Magengeni kuelekea Bulumawe lipo hatarini kubomoka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mamlaka husika waje walitazame usalama wa daraja dogo linalounganisha mawasiliano kutoka Boko Magengeni na Bulumawe linalopatika Kata ya Bunju ambalo lipo hatarini kubomoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha week 3 zilizopita.

Mvua hiyo imesababisha ukingo unaolinda daraja hilo kubombolewa na mafuriko makubwa ya maji ya mvua maana daraja hili ni muhimu sana kwa wakazi wa maeneo hayo.


 
Back
Top Bottom