Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi Magufuli ametoa wapi huu ukwasi wa kujenga ilo daraja?Binafs ingenishangaza endapo isingefikiriwa kuitwa jina lake coz mkuu kafanya mengi yaliyoonekana awali hayawezekaniki.
Mwenye atakuja na resistance ya hilo atakuwa amebeba agenda ya chuki binafc tu
Tatizo kubwa la nchi yetu lilikuwa kwenye ukusanyaji wa kodi na zaidi ya yote hakukuwa na nidhamu kwenye matumizi ya fedha za umma. Mzee kalisimamia hilo kwa ujasiri mkubwa kabisa. Kongole JPM!!Mkuu hivi Magufuli ametoa wapi huu ukwasi wa kujenga ilo daraja?
Maana hii ni noma san
Watu wenye mawaz kama haya ya kwko lazima pia wawe miongoni mwa idadi ya 50m ya Watanzania. Huenda haiwezekan tukawa wote timamu,lazm hata kina nyie muwe miongon mwa idadi hyo🤣🤣🤣Tutajenga mnara wa kumbukumbu za watu waliotekwa na kuuwawa kwenye awamu hii, pendekeza jina tuute mnara wa nani?
Daraja la mto kilombero nalo linaitwa daraja la magufuli, patheticTukishamuondoa tutatoa jina stahili. Daraja hata kuisha bado tayari na majina mmeanza kugawiana?
Hii ni kununua mbeleko kabla ya mtoto kuzaliwa.
Mbona tumejawa na kiherehere namna hii?
Halafu Majaliwa namuona kama PM wa kwanza nchi hii tokea tupate Uhuru ambaye badala ya kutimiza majukumu yake yeye anazunguka nchini kumsifia na kumuabudu mteule wake sijui kwa nini?
Jee kuna anayejua historia yake sahihi atuwekee hapa!
Tena ujengwe makao makuu ya chama yanapokusudiwa kuwepoTutajenga mnara wa kumbukumbu za watu waliotekwa na kuuwawa kwenye awamu hii, pendekeza jina tuute mnara wa nani?
Hujui alikotoa? Kwanza katika watu wazembe ni yeye maana alipokea nchi ikiwa vizuri kwa ukuaji wa uchumi na mahusiano mazuri ya kimataifa,nchi haikuwa na madeni makubwa wala matatizo mengi ya uchumiMkuu hivi Magufuli ametoa wapi huu ukwasi wa kujenga ilo daraja?
Maana hii ni noma sana
Unatakiwa upimwe akili we sio buleHujui alikotoa? Kwanza katika watu wazembe ni yeye maana alipokea nchi ikiwa vizuri kwa ukuaji wa uchumi na mahusiano mazuri ya kimataifa,nchi haikuwa na madeni makubwa wala matatizo mengi ya uchumi
Yeye ilikuwa ni kurekebisha kasoro ndogo ndogo zilizokuwepo,angeweza kufanya mengi zaidi badala yake anevuruga Sana amebakia kukopa na kukamua wananchi ili tuu aache legacy ya vitu Bila kujali ustawi wa wengine.
Huyu akitoka atakaemuachia atakuwa na mizigo mikubwa Sana kama madeni lukuki,mamiradi yenye kutia hasara kama sgr na mandege na Hali ngumu za maisha ya watu
Naziona kodi zangu zinavyo mpa maujiko Mheshimiwa.Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema daraja la Kigongo- Busisi limepewa jina la Rais John Magufuli ili aendelee kukumbukwa milele kutokana kazi kubwa aliyoifanya kwenye utawala wake.
Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Desemba 18, 2020 alipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo ulioanza mwaka 2020 na kutarajiwa kukamilika mwaka 2024.
Daraja hilo lenye urefu wa kilometa 3.2 litakuwa na nguzo 67 na litagharimu Sh699.2 bilioni. Linajengwa na kampuni ya CCECC ya nchini China.
"Limepewa jina lake ili aendelee kukumbukwa milele," amesisitiza Majaliwa.
Amesema ujenzi wa miradi mbalimbali ya kimkakati inayoendelea nchini lengo ni kurahisisha wananchi kufanya shughuli zao za kiuchumi katika mazingira mazuri.
Amewataka watanzania kupuuza kauli za baadhi ya watu kwamba serikali inajali zaidi vitu badala ya kuleta maendeleo ya watu.
"Tupuuze hizi taarifa hizi ni za watu wenye nia ovu, huwezi kupata maendeleo bila kuirahisishia mambo kama haya ya usafiri," amesema
Amesema mbali na kuboresha miundombinu hiyo lakini kupitia miradi hiyo inaongeza ajira kwa watanzania.
Duuuuih dharau hizi maskini lol, huwa nikikumbuka naona aibu miee,
Mbona mzee baba una wivu kwa vitu vidogo Kama hiviTukishamuondoa tutatoa jina stahili. Daraja hata kuisha bado tayari na majina mmeanza kugawiana?
Hii ni kununua mbeleko kabla ya mtoto kuzaliwa.
Mbona tumejawa na kiherehere namna hii?
Halafu Majaliwa namuona kama PM wa kwanza nchi hii tokea tupate Uhuru ambaye badala ya kutimiza majukumu yake yeye anazunguka nchini kumsifia na kumuabudu mteule wake sijui kwa nini?
Jee kuna anayejua historia yake sahihi atuwekee hapa!
Mkapa anakumbukwa na Nini?Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere hakumbukwi kupitia Majengo yenye Jina lake bali ni Utawala wake, Ustaarabu wake na Utu na Hekima pia.
Kwa mazuri yake.Mkapa anakumbukwa na Nini?
Na Magufuli pia atakumbukwa kwa mazuri yakeKwa mazuri yake.
Kwani kuna mahala umeona Mimi nimesema kuwa Rais Dk. Magufuli nae hatakumbukwa kwa mema yake? Kila Rais wa Tanzania atakumbukwa tu.Na Magufuli pia atakumbukwa kwa mazuri yake