Daraja la Busisi kupewa jina la Rais Magufuli ili akumbukwe katika Utawala wake

Binafs ingenishangaza endapo isingefikiriwa kuitwa jina lake coz mkuu kafanya mengi yaliyoonekana awali hayawezekaniki.
Mwenye atakuja na resistance ya hilo atakuwa amebeba agenda ya chuki binafc tu
Mkuu hivi Magufuli ametoa wapi huu ukwasi wa kujenga ilo daraja?
Maana hii ni noma sana
 
Mkuu hivi Magufuli ametoa wapi huu ukwasi wa kujenga ilo daraja?
Maana hii ni noma san
Tatizo kubwa la nchi yetu lilikuwa kwenye ukusanyaji wa kodi na zaidi ya yote hakukuwa na nidhamu kwenye matumizi ya fedha za umma. Mzee kalisimamia hilo kwa ujasiri mkubwa kabisa. Kongole JPM!!
 
Tutajenga mnara wa kumbukumbu za watu waliotekwa na kuuwawa kwenye awamu hii, pendekeza jina tuute mnara wa nani?
Watu wenye mawaz kama haya ya kwko lazima pia wawe miongoni mwa idadi ya 50m ya Watanzania. Huenda haiwezekan tukawa wote timamu,lazm hata kina nyie muwe miongon mwa idadi hyo🤣🤣🤣
 
Binamungu anapenda sifa sana na kuabudiwa! Utasikia na Ikulu mpya ikishaisha inapewa jina lake.
 
Daraja la mto kilombero nalo linaitwa daraja la magufuli, pathetic
 
Tutajenga mnara wa kumbukumbu za watu waliotekwa na kuuwawa kwenye awamu hii, pendekeza jina tuute mnara wa nani?
Tena ujengwe makao makuu ya chama yanapokusudiwa kuwepo
List pia ihusishe mashujaa wengine waliopoteza maisha awamu zilizopita tena
 
Mkuu hivi Magufuli ametoa wapi huu ukwasi wa kujenga ilo daraja?
Maana hii ni noma sana
Hujui alikotoa? Kwanza katika watu wazembe ni yeye maana alipokea nchi ikiwa vizuri kwa ukuaji wa uchumi na mahusiano mazuri ya kimataifa,nchi haikuwa na madeni makubwa wala matatizo mengi ya uchumi
Yeye ilikuwa ni kurekebisha kasoro ndogo ndogo zilizokuwepo,angeweza kufanya mengi zaidi badala yake anevuruga Sana amebakia kukopa na kukamua wananchi ili tuu aache legacy ya vitu Bila kujali ustawi wa wengine.
Huyu akitoka atakaemuachia atakuwa na mizigo mikubwa Sana kama madeni lukuki,mamiradi yenye kutia hasara kama sgr na mandege na Hali ngumu za maisha ya watu
 
Unatakiwa upimwe akili we sio bule
 
Naziona kodi zangu zinavyo mpa maujiko Mheshimiwa.
Ila any way kwa vile ni top in tz
 
Mbona mzee baba una wivu kwa vitu vidogo Kama hivi
 
Mtu anakumbukwa kwa kutendea watu wake haki lakini hata ujenge madaraja 100,000 lkn wakati wa utawala wako watu walikuwa wakitekwa, kujeruhiwa na wengine hata kuuwawa kwa amri zako ujue hutapona lazima siku moja utakuja tu unyee debe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…