Daraja la Kigamboni lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo utamalizika lini?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
 
Usitukumbushe machungu ya huko nyuma daraja lilijengwa kwa gharama zilizozidishwa kwa manufaa ya wachache, hilo deni litakamilishwa na kizazi kijacho usitarajie kupita hapo bure.

Waziri wa ujenzi wa wakati huo alihoji gharama za ujenzi yeye akahamishwa wizara akapelekwa iliyojulikana kama wizara ya mboga na katibu mkuu wake kupelekwa ubalozi India, ingawa baadaye waziri alikuwa rais na katibu mkuu akawa katibu mkuu kiongozi. Kwa sasa wote ni marehemu
 
4DD8CE32-A5CF-4270-BC57-8E2F0D4BB9B8.jpeg
 
Serikali na NSSF wakae wayamalize, wananchi wapite bure au kwa gharama ya chini
 
Mpaka wakusanye kiasi kinachotosha kuchakachua uchaguzi wa 2025
 
Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
kigambo au kigamboni?miradi yote mikubwa inajengwa kwa fedha mikopo au wafadhili.tatizo ni kuwa je pesa hiyo ilitumika kwa weredi na daraja hilo lina VFM (value for money)?pia najua pesa za NSSF ni za watumishi,je wanapokopa wanawashirikisha wenye pesa zao au ubabe unatumika?haya ndo maswali ya msingi.
 
Back
Top Bottom