Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake, kuna watu walisema kwamba miradi imesimama lakini Rais Samia Suluhu alisema miradi yote inaendelea na hakuna mradi uliosimama sisi wenyewe ni mashahidi tunaona utekelezaji unaendelea na moja ya mradi mkubwa uliachwa na Magufuli ni daraja kubwa la Kigongo-Busisi
Ujenzi wa Daraja la John Pombe Magufuli la (Kigongo-Busisi) umefikia asilimia 60.1, Daraja hilo lililopo jijini Mwanza, limebakisha 39.9% kabla ya kuanza kutumika rasmi kwa matumizi ya kila siku.
Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi katika kukamilisha miradi