Mkuu wewe ni muongo Kwa kusema daraja lipo jijini Mwanza. Hili daraja lipo wilaya ya Misungwi na siyo jijini Mwanza.Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake, kuna watu walisema kwamba miradi imesimama lakini Rais Samia Suluhu alisema miradi yote inaendelea na hakuna mradi uliosimama sisi wenyewe ni mashahidi tunaona utekelezaji unaendelea na moja ya mradi mkubwa uliachwa na Magufuli ni daraja kubwa la Kigongo-Busisi
Ujenzi wa Daraja la John Pombe Magufuli la (Kigongo-Busisi) umefikia asilimia 60.1, Daraja hilo lililopo jijini Mwanza, limebakisha 39.9% kabla ya kuanza kutumika rasmi kwa matumizi ya kila siku.
Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi katika kukamilisha miradi
usipomtaja huyu KINYEO KINAKUPWITA PWITU PWITU Hatukulaumu wewe ulikuja mjini kusoma na lisu ulimjulia ukubwaniMsaliti wa taifa Lisu asiruhusiwe kupita hapo,
Chifu Hangaya Anakwenda December Hii Kufungua Lango La BwawaVipi kuhusu lile Bwawa la umeme?
Amerudi?Msaliti wa taifa Lisu asiruhusiwe kupita hapo,
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake, kuna watu walisema kwamba miradi imesimama lakini Rais Samia Suluhu alisema miradi yote inaendelea na hakuna mradi uliosimama sisi wenyewe ni mashahidi tunaona utekelezaji unaendelea na moja ya mradi mkubwa uliachwa na Magufuli ni daraja kubwa la Kigongo-Busisi
Ujenzi wa Daraja la John Pombe Magufuli la (Kigongo-Busisi) umefikia asilimia 60.1, Daraja hilo lililopo jijini Mwanza, limebakisha 39.9% kabla ya kuanza kutumika rasmi kwa matumizi ya kila siku.
Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi katika kukamilisha miradi
Hivi kuna Rais yeyote duniani anaweza kumpiku Magufuli kwa kupachika jina lake kwenye mali za Taifa ?Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake, kuna watu walisema kwamba miradi imesimama lakini Rais Samia Suluhu alisema miradi yote inaendelea na hakuna mradi uliosimama sisi wenyewe ni mashahidi tunaona utekelezaji unaendelea na moja ya mradi mkubwa uliachwa na Magufuli ni daraja kubwa la Kigongo-Busisi
Ujenzi wa Daraja la John Pombe Magufuli la (Kigongo-Busisi) umefikia asilimia 60.1, Daraja hilo lililopo jijini Mwanza, limebakisha 39.9% kabla ya kuanza kutumika rasmi kwa matumizi ya kila siku.
Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi katika kukamilisha miradi
Atarudi tu 2025 kugombea urais, akipigwa chini anarudi tena kwa mme wake AmsterdamAmerudi?
Mtu atoke kwa mabeberu aje kutaka kuwa rais wa Tanzania? Nani amchagueAtarudi tu 2025 kugombea urais, akipigwa chini anarudi tena kwa mme wake Amsterdam
Acha kumpakazia Magufuli (rip). Kwa taarifa yako:Hivi kuna Rais yeyote duniani anaweza kumpiku Magufuli kwa kupachika jina lake kwenye mali za Taifa ?
Safari ndefu ya kwenda wapi mzee wewe hauoni miradi inavyoenda kwa kasikwa hizi thead
Tanzania tunasafari ndefu sana
Mwezi huu litaanza kujazwa maji kama ulifatilia Rais Samia Suluhu alisemaVipi kuhusu lile Bwawa la umeme?
Kwani wilaya ya Misungwi haipo Mwanza mzee wengine Misungwi hawapajui kwaiyo ukisema Mwanza inaeleweka na kile kivuko kinaitwa Busisi kwaiyo hapo imeeleweka sana na mimi nimepita pale mala nyingi sanaMkuu wewe ni muongo Kwa kusema daraja lipo jijini Mwanza. Hili daraja lipo wilaya ya Misungwi na siyo jijini Mwanza.
Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi sana katika kutekeleza miradiKazi inaendelea Rais Samia anaupiga mwingi