Daraja la Kigongo-Busisi laelekea kukamilika

Msaliti wa taifa Lisu asiruhusiwe kupita hapo,
Lazima aruhusiwe maana hii nchi ni huru na Rais Samia Suluhu anajenga Tanzania mpya kwaiyo kila mtanzania anahaki na uhuru wa kufanya chochote na kwenda popote pasipo kuvunja sheria na katiba ya nchi
 
Miradi yote itakamilishwa mzee tulia Rais Samia Suluhu aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake
 
Wewe utakuwa na tatizo la afya ya akili. Daraja hata halieleweki ujenzi unaendelea au umesimama
 
We unaota, kaamke
 
Mkuu wewe ni muongo Kwa kusema daraja lipo jijini Mwanza. Hili daraja lipo wilaya ya Misungwi na siyo jijini Mwanza.
Sasa so afadhali ya uongo wa Eneo kuliko huo wa muda wa daraja kuisha!
Wiki iliyopita tu wakandarasi(CCCEC) Waliomba kuongezewa muda wa ujenzi toka mwanzoni mwa 2024 mpaka mwishoni
 
Huna akili wewe dogo,mimi naishi busisi,unazijua stage za hilo daraja au unaropoka tu?
 
Maza yupo huko anatutafutia wanawe wawekezaji.
 
Hakuna mbwa yoyote wa kumzuia, hata yule kichaa agekuwa bado kitini asingeweza kumzuia
Punguza makasiliko Rais Samia Suluhu amerejesha democrasia na ndio maana unaona hata sasa wapo huru kuongea
 

Umesahau, wapiga propaganda wenzako walikuwa wanasema Magufuli aliliacha hilo daraja likiwa zaidi ya 70%. Sasa ww umesahau unasema liko 60%! Jipangeni mje na uongo upi.
 
Mhhh makubwa
 
Daraja la Kigongo Busisi tumesikia, je Jengo la uwanja wa ndege la abiria Mwanza ndiyo hivyo tena halisikiki!
 
Kuendelea na hii miradi Mama anajitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…